Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Ila uzushi inaruhusu?
Hapa kweli amekosea kiwatengu Mimi nilijua wifi anataarifa tangu kipindi kile ulichonifuma humu ndani.
dini ipi inayoruhusu?
okoka nitaachana na wewe...
Haya nimeokoka kuanzia leo sitaki kusingiziwa nampenda mme wangu tu
trust,,me hny huyu ni rafiki yangu.
afu wa siku nyingi..kanikampani sana wakati niko Dodoma
Umenifanya nitabasamu tangu nilipoamka, nakujikuta nikirudisha kumbukumbu zangu nyuma urafiki wetu ulipoanza.
Ahsante kwa kuwa rafiki yangu, namshukuru Mungu kwa hilo, namuomba azidi kuudumisha hadi ufikie kwa familia zetu siku moja.
hivi mtu kama mimi nikichepuka si nitaonekana mwehu?
babe!!!
yes, na sijafanya kosa kumtambulisha kwako..
hapo bado hujaokoka..kiri hapa kumwachia miss neddy mume wake..
hivi unamjua vyema wewe? sema uambiwe Excel kafichwa wapi