Angelina Jolie files for divorce from Brad Pitt

Angelina Jolie files for divorce from Brad Pitt

Asee, she's different. Hivi mwanamke gani atakataa kuwa na mtoto na Brad Pitt?!

Cc Sky Eclat
Ohh my God and she wasn't ready for that, but that was a peak time of her career and was soon after the end of Friends contract.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ohh my God and she wasn't ready for that, but that was a peak time of her career and was soon after the end of Friends contract.

So she chose career over family, Brad shouldn't be blamed for everything then. And Angelina was ready to start a family that's probably why she snatched him right away.
Lakini uongo mbaya, that can be a challenge kwetu. when it comes to choosing a career(when it's at the peak) VS a family.
 
uchawi upo ile dawa ya babu imefanya kaz ngoja nikaongeze kifurushu mtaanza pishana nae huyu kimwali Kanyenye ipuli na isevya very soon na wale watoto waje tu wanisaidie kulima
 
Brad Pitt ni mhuni tu alievaa ngozi ya usanii wa filamu.

Sasa kwa hii ni kwamba kazidiwa kete, big time.
 
Chezeya kilaji AKA pombe alikuwa kautwika inavyodaiwa na walikuwa kwenye safari as a family ugomvi na mtoto ukaanzia ndani ya ndege na kuendelea baada ya kushuka, ambapo anonymous mmoja hakufurahia alichokiona katika ugomvi huo wa baba na mtoto na hivyo kuamua kupeleka habari kwa authority husika. Nina wasiwasi huyo anonymous ni AJ ila hataki ajulikane kama anataka kumharibia Ex-spouse.

Whaaat!, oh No!, he's trouble. Watoto tena?
 
Chezeya kilaji AKA pombe alikuwa kautwika inavyodaiwa na walikuwa kwenye safari as a family ugomvi na mtoto ukaanzia ndani ya ndege na kuendelea baada ya kushuka, ambapo anonymous mmoja hakufurahia alichokiona katika ugomvi huo wa baba na mtoto na hivyo kuamua kupeleka habari kwa authority husika. Nina wasiwasi huyo anonymous ni AJ ila hataki ajulikane kama anataka kumharibia Ex-spouse.

Yea mostly likely anonymous ni yeye mwenyewe Angelina kama walikuwa kwenye private plane. Hii ya kuhusika watoto kuwa pengine he got physical with them is even worse. Cos inaweza affect career yake pia, na kama alikuwa kalewa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
She is going to win the custody of the children and he will pay for their up bringing, in short he is finished.

I like the way Angelina has put her kids first. Ametanguliza maslahi ya watoto kwanza, and then ndoa na mume baadae hata kama ndo hivi ndoa inavunjika.
 
I like the way Angelina has put her kids first. Ametanguliza maslahi ya watoto kwanza, and then ndoa na mume baadae hata kama ndo hivi ndoa inavunjika.
Like a lioness and her cubs, she is real a mother.
 
I like the way Angelina has put her kids first. Ametanguliza maslahi ya watoto kwanza, and then ndoa na mume baadae hata kama ndo hivi ndoa inavunjika.

Suala la ku abuse watoto ni zito sana kwa Angelina, ukizingatia na yeye alikuwa abused na Baba yake. Wameweza ku reconcile na huyo mdingi wake hivi majuzi tu, walikuwa hawaongei wala kuonana for years!
 
Niangalie zangu mr.and mrs. Smith!! Yangoswe mwachie ngoswe
 
Back
Top Bottom