Angelina Jolie files for divorce from Brad Pitt

Angelina Jolie files for divorce from Brad Pitt

Huyu mwanamke, si aliugua kansa ya matiti, au kumbukumbu yangu haipo sawa?
 
Ex wa Brad atafurahi kusikia jambo hili maana Angela alipora bwana wa mtu. Money doesn't buy everything.
Nilimuonea huruma sana Jennifer kwenye sakata hili, hata wakwe zake walimfariji sana kipindi kile, sitashangaa wakirudiana wale.
 
Without any doubt KARMA is always a bitch. There are rumors of similarities of this coming divorce.

Jennifer Aniston is opening champagne at this moment. 🙂
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mie nawaonea hruma watoto maana jamaa katika miaka yao 12 walipendana sana na mara nyingi walisafiri pamoja na watoto wao, sasa kama hii divorce italeta uadui kati yao basi watoto itawatesa sana.

You can say that again Mr BAK
 
  • Thanks
Reactions: kui
Wengi waliwapenda sana, beautiful looking couple. I hope there is a possibility of reconciliation.

Acha tu, halafu naona kama walikuwa wanapendeza wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mie nawaonea hruma watoto maana jamaa katika miaka yao 12 walipendana sana na mara nyingi walisafiri pamoja na watoto wao, sasa kama hii divorce italeta uadui kati yao basi watoto itawatesa sana.
rumours has it the children are spoilt brats, wakati nina muda wa kusoma gossip magazine, kuna moja nadhani story iliuzwa na domestic aider, mama na baba wanawaacha watoto wenyewe muda mwingi wenyewe no authororative voice/command so the do what they want.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Very true but rumours were out there that all is not well in Mr & Mrs Smith's house.

I think they caught most people by surprise, they seemed so perfect with their diverse family.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom