Marekani: Angelina Jolie amshtaki Brad Pitt kwa unyanyasaji

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mwigizaji Angelina Jolie amefungua shauri mahakamani akimshutumu mumewe wa zamani, mwigizaji Brad Pitt kwa kumshambulia yeye na watoto wao kwa ulevi wakati wa safari ya ndege ya kibinafsi, na kumfanya aombe talaka.

Jolie anasema Pitt alimsukuma kichwa na kuwashambulia watoto wao wawili huku akitukana na kuwamwagia pombe wakati wa safari ya kutoka Ufaransa kuelekea Los Angeles, mwaka 2016, madai yaliyopingwa vikali na Bwana Pitt.

Wawili hao walidumu kwenye mahusiano kwa miaka 10 kabla ya kuchumbiana mwaka 2012 na kuoana mwaka 2014 na hatimaye kutalakiana Septemba 2016.

…………

Angelina Jolie has filed court papers accusing ex-husband Brad Pitt of drunkenly attacking her and their children during a private plane flight, prompting her to file for divorce.

In a lawsuit over a French winery that the stars bought, Ms Jolie says Mr Pitt grabbed her by the head and attacked two of their children on the 2016 trip.

Mr Pitt also verbally abused and poured alcohol on his family during the flight from France to Los Angeles, she says.

He denies the allegations.

A source close to the actor told the BBC that Ms Jolie's claims were false. "She continues to rehash, revise and reimagine her description of an event that happened six years ago by adding completely untrue information each time she fails to get what she wants," said the source. "Her story is constantly evolving."

Ms Jolie's claim of abusive behaviour by Mr Pitt on the 14 September 2016 flight have emerged in previous court papers, including the Oscar-winning former couple's divorce settlement.

But new details were alleged in Tuesday's filing in Los Angeles by Ms Jolie's legal team. It is part of an ongoing lawsuit over Chateau Miraval SA, a home and vineyard in the south of France that the former Hollywood couple acquired together.

Mr Pitt argues that he and his former wife had agreed not to sell their stakes in the venue without the permission of the other.

Ms Jolie disputes this, and blames Mr Pitt for ending negotiations over purchasing her shares of the property.

Her cross-complaint on Tuesday says the actor was physically and emotionally abusive towards her and their six children - aged 8 to 15 at the time - during the private plane flight.

Source: BBC
 
Wanawake wana tabia ya kubeba visasi....na huwa hawasemehi moyoni ila mdomoni wepesi
Yaani nilivyokua napambania that we stay together kumbe mtu hakusamehe,sasa si angeweza hata kuniua huyu???
Mi napenda tukiongea jambo liishe na LIISHE KWELI.Ila kesi za 14 years, seriously???yaani hadi niliacha hata kushtuliwa tena na drama zake now namuangalia tu.akijichanganya kutaka kuondoka wala sijiulilzi mara 2.Nishachoka kusomewa mashtaka mimi
 
We will destroy the world by inserting our new system of management where men will not have the power of their spouse religion will be the main weapon to destroy well mannered systems and educated people will holds our new constitution and help to insert it to the society.

Tumekwisha
 
Back
Top Bottom