Angela Damas yu wapi?

Kwisimla

Senior Member
Apr 15, 2011
190
89
Wandugu napenda fahamu miss Tz 2002 Angela Damas yu wapi? Ni miss Tz ambaye hana scandals, nampenda
 
ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Old Guards, nilisikia wameenda Zanzibar kucheza nadhani kwa sasa atakuwa huko
 
Tuwekeeni Picha tushamsahau ni mdada wa aina gani... Basketball Bongo?
 
Mara ya mwisho nilimwona 2007 kanisani Njiro Roman Catholic kwenye English Mass akatambulishwa kanisani na miss mwenzie Saida Kessy (Miss tz 1996) ambaye ni mama wa kanisa kwenye misa ya kiingereza. Since then sijamuona tena
 
GslADUVU5J7iZSgSDqqxc07fPqttA7E4peBGJc0BOWfSKj7bfne49bmYXc9uf9vPbPwHir8Oxf8L0WeAgLVG5SwAAAAASUVORK5CYII=
 
Huyu mrembo alipotelea wapi jamani? Loooong time!

Au na yeye metal zimetight?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom