Angel Benard aolewa mara ya pili

usipotee sana kabla hatujawasiliana tafadhali dear..!😌
Daahh🤔🤔nimetuma PM kwa heaven Sent ,wasiliana nae umuambie km ni muhimu saana nje ya hapa mpe namba ya simu ntakutafuta mie dear
 
Inawezekana kwa sababu yeye sio wa kwanza kufanya hivyo siku hizi makanisa yamekua mengi na wachungaji wanafungisha ndoa TU bila kujali taarifa za ndoa ya kwanza na pia usoni mtu haekwi alama ya kwamba alishaolewa.
 

Nikishasikia msanii wa nyimbo za injili cha kwanza kinacchonijia akilini ni malaya wa kanisani. mtanisamehe wapambe wao. Hawa wanawake fuatilia kila mmoja, katika kumi no mmoja au wawili walio salama. wengine ni mwendo wa kugawa papuchi mara kazaa na wanaume tofauti, mara kaachika. Kwa ufupi hakuna ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…