Angekuwa ndiyo Lowassa...

kila uongozi una weakness zake na kila kitu kinachofanyika kina impact zake pia,either positive.negative or both.....hata magufuli ana weakness nyingi sana tatizo linakuja wapinzani wana address vipi hizo kasoro wananchi wote tukaelewa vivyo hivyo ingetokea kwa lowassa endapo angeshinda.....
 
Nchi aieleweki vp, unafukuzwa kazi kivip?huwezi fukuzwa kazi bila sabb,chanjo gani inatafutwa kwa tochi?mlizoe dezo mno fanyeni kazi acheni kulia lia mlizoea wizi wizi tu kila mahali mmebanwa sasa iliyobaki ni kelele na bado
 
Leo watoto wa wakulima wasingebeba mabegi na kurudi makwao kwa kukosa boom wangesoma bure, unafikir nan angempinga kwa hlo.
 
Kweli mkuu! Mwambie pia jinsi ccm walivyokuwa bize kumsafisha kuwa si fisadi,mwambie pia jinsi ulivyotaabika kumtetea huku mitandaoni usiku na mchana! Uliwapa mtihani mgumu kweli pale ulipowaambia Mwenye ushahidi kuwa lowassa ni fisadi aende mahakamani!! Mpaka leo hakuna kibwengo yeyote aliyethubutu kutia pua yake mahakamani!! Ina maana walikuwa wanamzushia tu!! Kweli hawa walikuwa mabingwa wa uzushi! Ila kuhusu Nani anaweza kufanya nini kesho ni some sort of Ushirikina!! Hivi Rungwe angefanikiwa kuinusa ikulu Mnajua angeweza kufanya nini na nini? Hivi kabla ya uchaguzi muliwasikia wananchi wakilalamikia nini zaidi? Upungufu wa aeroplane? Poa basi tunawaongezea nyingine saba!!tena kubwa kuliko meli! And after that tusisikie mtu akinon'gona tena!!
 
RIP Kichanga.
 
Hampendi Lowassa wenu asemwe eh?

Halafu hapo hapo usikute nyie ndo mlikuwa mstari wa mbele kumlaani wakati alipokuwa CCM.
Mkuu! Wala hatukuwa kwenye mstari,bali tulisimama out of crowd ili tusikike vyema!! Wewe ulikuwa wapi? Leo uko wapi? Lowassa was a centre of political gravity! Aliyeshinda alishinda kwa sababu ya Lowassa,aliyeshindwa alishindwa sababu ya Lowassa!! Kuna Na wengine tumewajua rangi zao halisi kupitia Lowassa! [HASHTAG]#ulipotupo[/HASHTAG] na hata sasa naendelea kupata mtiririko mpya wa uhalisia wa fikra za wengine kupitia jina lake!! Na Mimi ni sehemu ya hao Wengine.
 
Nawe ulizungusha mikono?
 
Hivi jipu la LUGUMI kalitumbua? Bandari hatuishi kwenda kwa mikwara lakini "MASHETANI" bado Makontena yanawekwa kwenye mifuko ya suruali inasepeshwa
IPTL, ESCROW ACCOUNT kila siku "Wanjanja " wana draw kila uchwao pesa za MALOFA Kweli kwa madhaifu haya unataka "TUMUOMBEE"?
 
Ki-nadharia tete, mkuu Nyani Ngabu ingekuwa leo ni tar 31 Disemba 2016 usiku saa sita kasoro dakika chache, ningekuambia hii thread yako ni ya kufungia mwaka kwa ubovu. Sijawahi kuona unaandika thread ya ajabu kama hii. Hata Lowasa angekuwa rais hakuna mwenye uhakikia angefanya nini, kwani hata JPM hakuna aliyejua kama angefanya haya.anayofanya. Nimeandika ki-nadharia tete si unajua tarehe 31 Disemba bado!?
 
Mbona husemi kama

Asingefanya maongezeko ya mishahara kwa watumishi mikataba inavyotka,kudidimiza demokrasia,
Bunge kutooneshwa live..
Uhakiki kila wa mwezi.
Kutoonesha wapi nchi inaenda..tupo na jongoo style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…