Lowasa angetendaje kama Magufuli? Yaan mwanasanaa atende kama mhandisi,swali la ajabu kabisa vile tu umesema mwenyewe unafikiri kinadharia basi sawa!
Mkuu Nyani Ngabu, wala usipate shida kupata jibu la swali lako? Je Lowasa alipokuwa CCM si walimtangaza kwenye Majukwaa kuwa ni Fisadi? Hawakufanya hivyo? Muulize John Mnyika, Saed Kubenea, Peter Msigwa, Godbless Lema, Tundu Lissu nk.
Je baada ya kuhamia CHADEMA wameendelea kuimba wimbo wa ufisadi? Thubutu! Nadhani mpaka hapo umeshapata jibu la swali lako. Hawa ndio Nyumbu
Jibu hoja.....Nimesema chama sijasema individuals; kwani Mtukufu yeye ameshushwa kutoka sayari ya Mars kuja kuongoza? Hakuwepo?..Na Lowassa alikuwa ni wa chama gani?
Binafsi nadhani ana nia nzuri.Uko wapi unafiki wangu?
Wapi uhandisi ulipoonekana? Kwa wanafunzi kuitwa vilaza na wengine kukosa mikopo? Kwa mahosipitali kukosa dawa? Plz be realistic & objective stop being so much in love with your Party.Lowasa angetendaje kama Magufuli? Yaan mwanasanaa atende kama mhandisi,swali la ajabu kabisa vile tu umesema mwenyewe unafikiri kinadharia basi sawa!
Hiyo ilani ni ile ya mtandaoni?kasome ilani ya uchaguzi wa Chadema...
Kwa hiyo kumbe ingekuwa ni politics as usual!