EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
na kiroba tena angekuwa mpole kisha angejb KIMTONDOGOOONingemtafutia kiroba anywe then namuuliza tena nione km itakuwa imemsaidia....hahahahaaa kilaza ni kilaza tu EL
Halafu huyo dogo atakuwa mtoto wa MADENGE, si unajua madenge alimpa mwanafunzi mwenzie mimba so mtoto wao atakuwa ndo huyo so pata jibu hapo mkuuna kiroba tena angekuwa mpole kisha angejb KIMTONDOGOOO
huyo alikua kiboko aisee... sijui kaenda wapi!hahahahaBila shaka huyu mtoto alikuwa ni WAKUSOMA aka siku hizi anajiita c.............................................. :lol: :eyebrows::sorry::sorry:
mzee mmoja alichoshwa na habari za mtaani kwamba mwanaye hata umuulize swali jepesi kupita yote ni lazima atakosa !!!
Siku moja akaamua kuandaa swali jepesi kupita kiasi ili amuulize mwanae mbele ya watu kufuta ile historia mbaya !!!
Siku ya siku ikafika mbele ya umati mshua akamuita mwanae kisha akamuuliza swali lifuatalo.....
mwanangu mtu mwenye umri wa miaka kati ya 18 hadi 35 huitwa KIJANA..... Je mtu mwenye umri kuanzia 36 hadi 50 ataitwa nani !.....
Toto bila hata ya kufikili kwa sauti likajb KIJUZI !!!!
Vp angekuwa mwanao ungemfanyaje !....
Ningemtafutia kiroba anywe then namuuliza tena nione km itakuwa imemsaidia....hahahahaaa kilaza ni kilaza tu EL
ningemrudisha kwenye tumbo la ***** ili akazaliwe tena
mkuu ungemshtaki kwa lipi xaxa lol !Huyu ni wa kupeleka polisi tu,hakuna jinsi.
Umetisha mkuu jerry mouse a.k.a El magnifical.