Hili ndilo tatizo la Tanzania na Watanzani !! Kupuuzia usimamizi wa sheria na kufanya maamuzi ya kiswahiba ili kujikomba kama alivyofanya Kaka Mkuu kwa hofu tu kuwa Chadema watapata nguvu na kampeni yao ya Sangara.
Lazima ufanye maamuzi magumu kama Mh Magufuli. Watanzania tujifunze kufuata sheria, kukubali kuwa mjini sio kijijini kusema kila eneo ni gulio, ni makazi n.k Uzembe wa watendaji wakati Mghufuli bado akiwa shuleni ndio unaoigharimu serikali. BIG UP MAGHUFULI.