Angejenga babako njian ungevunja hiv??rais akimuuliiza mh magufuli

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
bomoabomoaa na badoo mtaongea mengi tunataka barabara kubwa mwachen mh
03_11_rjbz9p.jpg
 
Ukitkaja kujua mwenye akili sio lazima ashike makopo...kweli kampa haki yake..mh rais nitajie nchi utakayotaka mh nikupeleke baada ya kutoka huko wizarani...
 
raisi hatuna kabsaa amezidi uswahi mno! lol mwenzie anafanya kazi yeye anazuia ili nyumba za shosti zake zisivunjwe! sheria ni msumeno ukate pande zote magufuli kama bado wanakuzuia kufanya kazi yako wamwage resign wawape wajinga wenzao hiyo kazi!

shem upon them......
 
Hili ndilo tatizo la Tanzania na Watanzani !! Kupuuzia usimamizi wa sheria na kufanya maamuzi ya kiswahiba ili kujikomba kama alivyofanya Kaka Mkuu kwa hofu tu kuwa Chadema watapata nguvu na kampeni yao ya Sangara.

Lazima ufanye maamuzi magumu kama Mh Magufuli. Watanzania tujifunze kufuata sheria, kukubali kuwa mjini sio kijijini kusema kila eneo ni gulio, ni makazi n.k Uzembe wa watendaji wakati Mghufuli bado akiwa shuleni ndio unaoigharimu serikali. BIG UP MAGHUFULI.
 
ikulu PAZIA...!

" KUMCHAGUA TENA KIKWETE ..NI JANGA LA KITAIFA..." Dr WILBROD SLAA

lita ya petroli Tshs 2000/=

1USD = madafu 1600/=
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom