Ange Kagame aolewa

Kabisa mkuu.
Hasa hawa wanasiasa wana pesa sana. Zile acc zao za ulaya ukute ndio za taadhari .afu hizi za NMB CRDB ni za kula bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ana mbinu sana yule mzee then akimalza kufanya yake anaenda church


Mkuu still huduma za bongo sio.huko ma mbele tunaskia wanabadili mpaka moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wazee huko O'bay/Masaki wana mipunga yao kila operation ma dr. wanatoka ma mbele wanakuja kufanyia huku Bongo.

Hata yule bilionea Mrema wa Arusha naye aliambiwa na ma dr. Kutoka Germany wanaweza kuja na vifaa vyao then wakaja kumfanyia operation kwny hosp. watakayoichagua wao pale Arusha.
 
Aisee mkuu
Nimeamini maneno ya teacher wangu fulani alisema hapa duniani kuna watu wana live wengine wana survive


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada huo mzigo si wa kitoto dada'angu!

That made me re-evaluate my entire existence,how stupid my life is!

That pussy is gold eti!

And that nigga is banging errrday for free!

This life ain't fair!
. Ange angekuwepo JF angekutafuta japo uweke mkono tu kwenye
. I'm sure hata mume wake hajawahi mpa sifa kama hizi unazompa wewe.
Ila mzuri na baba ake Ana power na ndo vile kaolewa na mtoto wa Kigogo huko kwao.
Zichange change na wewe uponee japo kwa Jessica

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah noma sana mkuu,na ndio ukweli huo.
Kuna jamaa aliwahi kunisimulia kua .rafiki ake mmoja alienda UAE huko.sasa kwenye nyumba aliyofikia ya mwenyeji wake
Asubuhi watoto wanaenda shule.kila mtu na gari lake.mmoja akakwaruza kidogo gari kwenye gate, alirudi ndani akachukua gari nyingine


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninatamani kufahamu alipo Brian mdogo wake maana alikuwa darasa moja na binti yangu kwenye midugudu ya Murutarama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…