Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKATA KIU, Nov 11, 2011.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  ANGALIZO KWA KAKA /DADA NA WADOGO ZANGU WOTE MLIOPO VYUONI NA MNAOTEGEMEA KUMALIZA CHUO
  Mi ni graduates wa chuo kimoja cha uma mwaka 2010 and nakummbuka sana stories tulizokuwa tunapiga enzi za chuo na matumaini kibao na washkaji chuoni, especially ambao tuliingia chuo direct from school ambazo mara nyingi zilikuwa tofauti na stories ambazo in services walizokuwa wanaziongelea wakitokea makazini,, so after almost a year In real practical world nimejifunza yafutayo na nimeona si vibaya nikishare na washkaji zangu ambao bado mkpo vyuoni na mtaani mkiendelea na harakati

  1.Kwanza kabisa Heshima kwa watu wote ama course yoyote sababu vyuoni kuna tabia ya kujiona huko juu kisa unasoma course flani like Telecom,B com, BAF, logistics etc na kuwaponda wenzako kuwa watasota kitaa au watakuwa na maisha duni kisa wanasoma degree hazieleweki, in real world maisha hayaeleweki na ajira siku hizi si mchezo na hata kubebwa lazima ubebwe na mtu mwenye nguvu kweli kweli sio rahisi kama tunavyozani na hii imechangiwa na technology, siku hizi kazi nyingi zinafanywa under management system so haziitaji nguvu nyingi ya lazima kumwajiri aliyosomea yoyote anafundishwa system kasha anapiga mzigo kama kawa,

  2.Pia kuandaa plan B mapema, nadhani weni wetu plan A inakuwa kuajiriwa nah ii inaweza ikabuma so ni vyema kuandaa plan B na hata Plan C if possible mapema na tena itapendeza ukianza nayo toka huko chuoni wakati unapata pata vipesa vya Boom kama mtaji mdogo wa what ur going to do kama usipopata ajira.


  3. Kuwa makini kwenye Mahusiano yako, Date the right one sababu patner ndo mtu wa kwanza close kwenye harakati za maisha na hata kupeana furaha hata kama mishe haziendi sawasawa, na vyuoni ni sehemu zenye wide choice so badala ya kupoteza muda na visister duu visivyojua maisha ni nini au visharobaro visivyojielewa kama ni mdada jilengeshe kwa right man ambae mtakuwa pamoja kwenye michakato yote coz hukisubiri uje umpate wakati una kazi nzuri au pesa nyingi atakuwa feki huyo na pia kupata hiyo kazi nzuri na pesa nyingi inaweza isifike hata baada ya 10 years as soko ni gumu sana nowdays and Kila nyumba ina graduates siku hizi so job is a real challenge


  4.Jitahidi uwe unique katika competitive market usipende vitu vya kuigana as kufata mkumbo like kukimbilia masters wakati hauna experience tena kwenye vyuo vyetu vya kibongo ulivyosoma undergraduate unaenda kuchukua masters cheti, but u ddnt masters anything because the mean of master is the same as mastering something you know better and wish to continue doing on your life. But ukipata chance abroad atleast utachange pia hata kuimprove communication skills as you know kidhungu ni ishu kwa sisi wabongo. USHAURI HIYO SCHOOL FEES YA MASTER BILA EXPERIENCE NI BORA HUITUMIE KAMA MTAJI KWENYE PLAN B YAKO kuliko kuipeleka chuoni then ukarudi kwenye u jobless


  5. Communication skills kwa kiingereza nazo zinahusika nowdays, kwa wale mliopitia English medium schools au kusoma abroad na wote ambao kiingereza mnakijua vizuri tumieni lugha hiyo vizuri kuwachanganya mabosi kwenye interviews au hata kwenye career fairs as you know kwa bongo English deal, although haina maana yoyote.


  6. Pia jitahidi ujichanganye na watu mbalimbali ili utengeneze network na pia fuatilia sana kampuni ambazo zinarecruit kila mwaka like KPMG, PWC, DELLOITE, SDV, PKF, ERNST AND YOUNG etc sababu hizo ndizo hope kubwa kwa graduates tusio na connection sababu ziko na fair recruitment japokuwa ni process kupata maana interview sio chini ya tatu na GPA lazima iwe inasoma na ina relate na matokeo ya Form 4 and form 6, sio form4 div 4, form 6 div 3 halafu chuo una first class hapo jamaa watajua chuo umefanya uchakachuaji tu, Nimesema hivyo through my experience working in among those firm since I graduate up to now, na nilipata job bila kumjua hata mfagiaji wa ofisi,, so I encourage my fellows mjaribu bahati zenu..

  NI HAYO TU NDUGU ZANGU NIMEONA TUSHARE KAMA KUNA MTU ANA LA KUONGEZEA RUHUSA KWA FAIDA YA NDUGU NA JAMAA
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  UMESOMEKA SANA MKUU SHUKRANI KWA ANGALIZO NA USHAURI NI WAZI VIJANA WALIOPO CHUO WATAFUATILIA NA KUKUELEWA NI UKWELI ULIOWAZI HUKU KITAA NI TOFAUTI KABISA NA WANAVYOFIKRI .GUYS WE ARE INTELLECTUALS TUMEENDA SHULE KUKOMBOA FIKRA ZETU ILI TUJE KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA

  "Strength and growth come only through continuous effort and struggle". -Napoleon Hill


   
 3. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Kaka mchango wako ni wamuhimu sana na utasaidia kutoa ukungu kwa wanachuo wengi watakaousoma.

  binafsi nina rafiki zangu wengi enzi zile nipo advance waliokuwa wanasoma PCM walipenda sana kusoma Telecom na waliamini wakisoma hii course basi maisha yao yatakuwa mteremko.Ila sasa walipomaliza ndio wamejua ukweli wa mambo ulivyo yani ni MWENDO WA BENCHI mwanzo mwisho na wengi wamefungua vibanda kwa ajiri ya kupigia madogo mapindi.Ila ukweli ni kwamba katika maisha kutoka ni network yako na watu na compitent yako regardless your professional.

  Kingine ningependa kuwasaidia wadogo zangu kifikra katika hizi fani mpya zinazoanzishwa ni vyema wazichague hizo kama wanavigezo vya kuzisoma kuliko kujazana kwenye fani ambazo mahitaji yake sokoni hayaendani na idadi ya wahitimu.Mfano wa hizo course ni actuarial science ipo udsm,real estate ipo ardhi na textile engineering ipo coet na zingine nyingi mpya maana hata telecom miaka ya 2001(kama sijakosea) ilipoanza ilikuwa haijulikani ila products zake zilikuwa zinahitajika kwa kasi katika telecom industry pia hata computer science ilipoanza ilikuwa marketable ila kwa sasa zote chali maana wahitimu wengi wa hizi course wanafikiria kuwa ma-tutorial assistants.

  Kwa kumalizia nawashauri madogo kabla ujachagua course kwa kupitia central admission system ya TCU basi muulize kaka zenu waliohitimu hizo course au nenda kwenye chuo husika kaulize ili usije ukajuta(majuto mjukuu) na ukaanza kusoma kwa stress.NAWASILISHA.
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nadhani vijana wataielewa vizuri na kuifanyia kazi
   
 5. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  well said mkuu lazima tuweflexible tusifuate mkumbo tu...
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Mawazo mazuri, ila kila nyumba kuwa na graduate ni uongo wa mchana. Kwa mfano ktk ukoo wetu, niliyefika chuo kikuu ni mimi peke yangu. Kafanye utafiti upya.
   
 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Makala yako nzuri tafuta gazeti linalopendwa na walengwa kama Ijumaa au Kiu uimwage hapo. Huku wanaweza wasifike
   
 8. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mkuu nafikri alikuwa anajaribu kuweka mtazamo jumla (general perspective) ili wahusika wastuke
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Wapi tufe la 'like'?
   
 10. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  hiv ni kweli?
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Safi sana mkuu,umesomeka mbaya..maana ka hapa udbs watu wanadhani ndo tayari waisha yapatia maisha.
   
 12. F

  FELIPE Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  hii kitu uki-print ukabandika kwenye vyuo kama vinne vilivyo karibu yako Mungu atakubariki sana
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wish hili somo lingewafikia hao wadogo zetu direct. Wana ndoto ambazo ni ubatili mtupu
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ubarikiwe sana. Somo limeeleweka.
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umeongea vizuri sana..wengi tulikuwa na ndoto hizo..but tumeingia kwenye real world mambo yamekuwa tofauti kabisa!
   
 16. G

  General Nyange Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nmeipenda! Mwenye macho asome,aelewe na achukue hatua! asipobadilika, kwel "sikio la kufa halisikii dawa"
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ndo maana ukaamua kujibanza kwa nape?
   
 18. middo

  middo JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sasa naelewa kwanini div 1 form six anakimbilia education
   
 19. v

  valid statement JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  umezungumza vema mkuu!
  Wenye kuelewa na waelewe. Mungu awafumbue akili.
   
 20. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yani itbidi huu ujumbe wako nipelekee baadhi ya vijana ambao ndoto zao zote ni kupata kazi kwenye ofisi zenye full kiyoyozi na Mshahara usiopugua millioni mbili serekalini hah!!hah!! hah!
   
Loading...