Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,078
Tukutane kitaaExactly. Ushauri mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anatafuta muujiza siyooVery true Mkuu, wengi wa watu wanaoenda kushinda makanisa hasa haya ya ulokole ni wanafki sana. Zamani nilikua nikimuona demu mkali anasali makanisa ya kilokole namkimbia najua amekwisha ungua anatafuta muujiza.
ila siku hizi kuna ARV ndiyo muujiza wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anatafuta muujiza siyoo
Haswaaa,.palipo na wema,ubaya haukosi pia.Sehemu yeyote ile yenye mkusanyiko wa watu wengi ina watu wema na wabaya. Kwa hiyo mwandishi ungesema "kuweni makini mnavo tafuta wachumba makanisani"
Wako kinadada wazuri wanapatikana makanisani na wako kina dada wabovu kupindukia wanapatikana makanisani. Na hata wa mitaani ni hvo hivo.
*napenda kina dada wanao sali
Eeeh! Tena mbaya aliyepo kati ya wema anakuwaga nyoka mkubwa. Ni kuwa makini hoes are everywhere. Eti kwa kuwa mtu ni mnasali naye tuu basi ndio anafaa kuwa mke. Lazma ulie.Haswaaa,.palipo na wema,ubaya haukosi pia.
Wadada wa biblia wapo hawawezi isha ila wanafichwa na hao wenye mingozi yao ya kondoo ndani chui...Eeeh! Tena mbaya aliyepo kati ya wema anakuwaga nyoka mkubwa. Ni kuwa makini hoes are everywhere. Eti kwa kuwa mtu ni mnasali naye tuu basi ndio anafaa kuwa mke. Lazma ulie.
Ila mimi mwanamke anaye mpenda Mungu is a big plus kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee
Eeh ni kuwa makini sana. Shem umepiga pointWadada wa biblia wapo hawawezi isha ila wanafichwa na hao wenye mingozi yao ya kondoo ndani chui...
Nikuwa makini na kumshirikisha Mungu kwa kila jambo,..dunia ina mengii..Eeh ni kuwa makini sana. Shem umepiga point
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hivyo ujue nimeacha alama ndugu zangu mkipita mjue na mimi nilishapita......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza haiwezekani tunakupa like kwa kusema asee kwenye kila post.
Toa mawazo yako tujue
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hivyo ujue nimeacha alama ndugu zangu mkipita mjue na mimi nilishapita......
Ata nikiweka nukta wewe gonga like tu