Angalizo usiku wa kuamkia siku ya SENSA.

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
WanaChit-Chat kama wewe ni mwanaume kama mimi na hujaoa basi kaa ukijua ukitalala na mwanamke nyumbani kwako tarehe 25 kuamkia 26 tutahesabu huyo ni mkeo, nawewe mwanamke ambaye hujaolewa ukilala na mwanaume tarehe 25 kuamkia 26 nyumbani kwako tutahesabu huyo ni mumeo. . . .Nadhani nimeeleweka.
 
Hahhaa!
Angalizo kubwa ni ukiamkia guest, kama umeandika unatoka dar kwenda dar utawa-confyuzi makarani. Afu ukiandika jina la uongo liwe walau limefanana na la jirani yako!

Ila infidelity is a full time job, kha!
 
Back
Top Bottom