yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Nunua sim ya pili ambayo hataijua ,pia sajili na line nyingine ambayo hatakiwi kuijua.Fanyia ujambazi wako hiyo,sim yako akitaka unamuachia hata wkend nzima kwa sababu ni takatifu.
Sent using Jamii Forums mobile app






Kuchepuka ni hitaji la lazima kwa mwanaume,ngono sio upendo watu watenganishe japo ndo kiungo au daraja la wapendanaoHivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Mimi ndo dume nimeoa,kwanza naamini kila mwanamke ni mchepukaji,pili akichepuka nicpojua haina shida ila nikijua tu anatembea bila kujalisha kama mimi amewahi nikamata au laaZa mwizi 40, unamsifia wife material hapo hapo unafanya yakufanya, huwajui wanawake kama akikusamehe na mkaendelea vizuri basi shukuru laa ameshajua kuwa wapo wengine hivyo naye lazima ataongeza naye wakukusaidia wewe tulia tu vuta pumzi, ukipata mtu mzuri hujielewi subiri upata kiruka njia ndiyo utatulia kiroboto
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika mkuu??Shida sio smartphone, shida ni wewe mfugaji kudate na binti mboga saba aliyezoea iPhones
Sent using Jamii Forums mobile app
uzembe huo boss, Bro ana simu 2 moja ya mambo ya mwangani na nyingine ya gizani.
Ya mambo ya kizani ipo dukani , Na kaiweka kwenye show case pamoja na simu zingine , huwa haiuzwi hiyooo imekaa tuu shem akiwa home yeye kupambana na michepu, na alifanya hivyo baada ya kukamatwa kama mara tatu hivi since 2015 mpaka leo hakunaga kesi za michepuko
NGASTUKA A MACHALI KUNDESAA MNAMA
Mie mwanamke akiwa sio korofi nampendaga tu unconditionally na linapokuja swala la genye, first thing that comes in my mind is my woman.
Nashangaa vijana wenzangu mnakwama wapi!? Una KE wako anakupenda na anakupa raha tu jinsi utakavyo. Kwanini umsaliti?
Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa nyuma nilikuwa najiuliza maneno kama hayo yako hivyo hivyo. Nimekuwa mkubwa sasa naona hata aibu kujiuliza hilo swali.Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa nyuma nilikuwa najiuliza maneno kama hayo yako hivyo hivyo. Nimekuwa mkubwa sasa naona hata aibu kujiuliza hilo swali.
Hata sijui kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app





🤔😂😂😂😂😂😂 labdaSiku ake ipo tena hakuna marefu yasiyo na ncha
Sent from my iPhone using JamiiForums
inatokea tuu automatic,Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Kwa hiyo ujinga wako wa kutokujua matumizi ya simu ndio umeamua kuuleta hapa na tahadhari kubwa?NAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy.
.
.
bhasi kwakuwa najua kuna vimchepuko nachat navyo sana si nikafuta uchafu wote nikawa kidume najiamini kifua mbele
.
.
Leo nimemimit na bibie akachukua cm kama kawaida ya wanawake wanachokitafutaga huwa wanakipata, leo ilikua siku yake ya kukipata anachokitafuta.
.
.
Hta haikuchukua zaid ya dk3 naona bibie kabadilika sura tyr, ile kurudsha sim naona chats zote za mchepuko hata sikuamini, alichofanya akanambia nashukuru amelegea htr zile chats ni htr kwa afya wakuu emesepa zake nmejarib mwomba wapi.
.
.
Ujinga nlofanya siku delete kumbe nili archive chat kwa iphone user wanajua wkt wa kufuta chat kuna option 2 huwa znakuja sasa me siku delete nka archive bila kujua
.
.
Nmemwacha asepe ntamchek ksho morning atakuw katulia nawaza sound za kumpa hapa nampenda sana jaman huyu bibie ndo wife material wangu. Huyu bibie kajitoa sana kwangu ananipenda sana najuta hapa akinisamehe naahidi kutuliaa .
.
.
Usisiamin smart phone ako jaman unaweza futa hata picha zote afu moja ikabakia, smartphone zinanisnitch sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo huwa linaanzia hapa...Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Kama hili kabila limefikia hatua hii, basi hatupo ktk raiti traki hahaaaUshindwe kwa jina la yesu
Sent from my iPhone using JamiiForums