


Labda na mie nisubiri nikue naweza nikaona aibu kuuliza hiviNilipokuwa mdogo, miaka kadhaa nyuma nilikuwa najiuliza maneno kama hayo yako hivyo hivyo. Nimekuwa mkubwa sasa naona hata aibu kujiuliza hilo swali.
Hata sijui kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
labda

Kwa hiyo ujinga wako wa kutokujua matumizi ya simu ndio umeamua kuuleta hapa na tahadhari kubwa?
Hiyo smartphone yako ndo siyo ya kuiamini
😂😂😂 ngoja kesho ni3nde napiga piga mluzi alafu nimwambie bro siku za mwizi ni .......... alafu namwambia malizia akijilengesha kutaka kujua why namchana makavu 😂😂😂 ila nakuwa nimekaa mbali nae mita kadhaa 😂😂😂😂Kweli mkuu utaleta mrejesho
Sent from my iPhone using JamiiForums
ngoja kesho ni3nde napiga piga mluzi alafu nimwambie bro siku za mwizi ni .......... alafu namwambia malizia akijilengesha kutaka kujua why namchana makavu
ila nakuwa nimekaa mbali nae mita kadhaa
![]()
Ushawahi jiuliza kwanini mabasi ya abiria yanashauriwa kuwa na madereva wawili katika safar zaoHivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Ushawahi jiuliza kwanini mabasi ya abiria yanashauriwa kuwa na madereva wawili katika safar zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka usikamatwe acha mipango ya kando, hiyo ndo njia niliyoigundua kuwa ni rahisi, kichwa kiko chepesi wala huwazi negative za kushikwa yaani nahusudu sana uhuru wangu!NAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy.
.
.
bhasi kwakuwa najua kuna vimchepuko nachat navyo sana si nikafuta uchafu wote nikawa kidume najiamini kifua mbele
.
.
Leo nimemimit na bibie akachukua cm kama kawaida ya wanawake wanachokitafutaga huwa wanakipata, leo ilikua siku yake ya kukipata anachokitafuta.
.
.
Hta haikuchukua zaid ya dk3 naona bibie kabadilika sura tyr, ile kurudsha sim naona chats zote za mchepuko hata sikuamini, alichofanya akanambia nashukuru amelegea htr zile chats ni htr kwa afya wakuu emesepa zake nmejarib mwomba wapi.
.
.
Ujinga nlofanya siku delete kumbe nili archive chat kwa iphone user wanajua wkt wa kufuta chat kuna option 2 huwa znakuja sasa me siku delete nka archive bila kujua
.
.
Nmemwacha asepe ntamchek ksho morning atakuw katulia nawaza sound za kumpa hapa nampenda sana jaman huyu bibie ndo wife material wangu. Huyu bibie kajitoa sana kwangu ananipenda sana najuta hapa akinisamehe naahidi kutuliaa .
.
.
Usisiamin smart phone ako jaman unaweza futa hata picha zote afu moja ikabakia, smartphone zinanisnitch sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siku ukiwa mwanaume utaelewaHivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Na mimi ndo nashangaa hapo...!!Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Kwani ye alikuwa anatafuta nini kwenye simu yako mpaka akafike huko kwenye historical sites!?
Huyo hakupendi tu alikuwa anakutafutia sababu
Sent using Jamii Forums mobile app