Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Babe rafiki ni asili yetu ndiyo maana hata jogoo hana mtetea mmoja![emoji849][emoji849][emoji849]Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Babe rafiki ni asili yetu ndiyo maana hata jogoo hana mtetea mmoja![emoji849][emoji849][emoji849]Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Hata kuwaza usiwazeDah...Kama hauko smart kichwani ..usichepuke utakamatwa tu....ni ushauri tu[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Za mwizi 40, unamsifia wife material hapo hapo unafanya yakufanya, huwajui wanawake kama akikusamehe na mkaendelea vizuri basi shukuru laa ameshajua kuwa wapo wengine hivyo naye lazima ataongeza naye wakukusaidia wewe tulia tu vuta pumzi, ukipata mtu mzuri hujielewi subiri upata kiruka njia ndiyo utatulia kiroboto
Sent using Jamii Forums mobile app
unapendwa et? muulize kakupendea nini maana wanawake akili zao wanazijuaga wenyew, ivi unajua mwanamke anaweza kukupenda pasipo sababu yoyote ile ila wanaume tunapenda kwa sababu ana kitu flan, asa wew ndo unaonekan umependa ila ujijui anakudekea tu
Sasa tabu zote za nini mzee baba? Kujichosha na mamichepuko kibao bila sababu za msingi na mwanamke wako anakufeel kinoma!
Ajali kazini......iphone ziko hivo ukikosea tu imooo kifo cha mende
Kwahiyo hapo shida IPhone au akili zako?
Unapedwa alafu una chepuka.!!! Huo ni upuuzi mkubwa mno.
MGC
Ina tokea tu bibieHivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Hata barabara kuu inatokea kuwa na diversion!Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Mie mwanamke akiwa sio korofi nampendaga tu unconditionally na linapokuja swala la genye, first thing that comes in my mind is my woman.Tamaa hizi mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
joanahHivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Mmmh okAnajuaa hana shidaa
Sent from my iPhone using JamiiForums