Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,491
- Thread starter
- #141
Nipe tips
Kama user unatakiwa ufanyeje?Hapo mwenye shida ni user wala sio smartphone. Ungekuwa makini usingekamatwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchepuka eti wanasema ni kama kaniki hata ukifua haitakati😁😁😁😁Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Kuchepuka eti wanasema ni kama kaniki hata ukifua haitakati😁😁😁😁
Wanachama wa hiyo club kongwe.......Kina nani wanasema?
Kina nani wanasema?