Angalizo Usije kuiamini smartphone yako

Angalizo Usije kuiamini smartphone yako

NAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy.
.
.
bhasi kwakuwa najua kuna vimchepuko nachat navyo sana si nikafuta uchafu wote nikawa kidume najiamini kifua mbele
.
.
Leo nimemimit na bibie akachukua cm kama kawaida ya wanawake wanachokitafutaga huwa wanakipata, leo ilikua siku yake ya kukipata anachokitafuta.
.
.
Hta haikuchukua zaid ya dk3 naona bibie kabadilika sura tyr, ile kurudsha sim naona chats zote za mchepuko hata sikuamini, alichofanya akanambia nashukuru amelegea htr zile chats ni htr kwa afya wakuu emesepa zake nmejarib mwomba wapi.
.
.
Ujinga nlofanya siku delete kumbe nili archive chat kwa iphone user wanajua wkt wa kufuta chat kuna option 2 huwa znakuja sasa me siku delete nka archive bila kujua
.
.
Nmemwacha asepe ntamchek ksho morning atakuw katulia nawaza sound za kumpa hapa nampenda sana jaman huyu bibie ndo wife material wangu. Huyu bibie kajitoa sana kwangu ananipenda sana najuta hapa akinisamehe naahidi kutuliaa .
.
.
Usisiamin smart phone ako jaman unaweza futa hata picha zote afu moja ikabakia, smartphone zinanisnitch sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu kwan ulimkuta bikra uyo bibie? na kama ulikuta kizibo washafungua bas nae huwa anachepuka usijipe shida let her go acha ufala afu mwanamke ambaye anajitambua hanaga kiherehere cha kukagua sim ya boy wake we kausha atarud mwenyew uyo
 
Mkiambiwa iphone co cm mnabisha... Tecno hainaga huo ujinga cjui wa kuarchive ...ukifuta umefuta na ucpokuwa makini inafuta mpaka phone book...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu hata sio vya kujisifia mbele ya kadamnasi, nafikiri ungeanza wewe kwa kuona aibu kabla ya kututahadharisha.

Hapa warning ingekuwa "tunapaswa kuwa waaminifu kwetu na kwa wale wanaotuzunguka".
 
halelluyah ... mchungaji
 
mkuu kwan ulimkuta bikra uyo bibie? na kama ulikuta kizibo washafungua bas nae huwa anachepuka usijipe shida let her go acha ufala afu mwanamke ambaye anajitambua hanaga kiherehere cha kukagua sim ya boy wake we kausha atarud mwenyew uyo

Mkuu hujawai pendwa wewe, demu akikupenda serius lazma awe na wivu na ww atataman uwe wake pekee hata taka kushare na mtu. Hatopenda uwe na marafik wa kike. Hiv vitu kama havija kukuta huwez juaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Za mwizi 40, unamsifia wife material hapo hapo unafanya yakufanya, huwajui wanawake kama akikusamehe na mkaendelea vizuri basi shukuru laa ameshajua kuwa wapo wengine hivyo naye lazima ataongeza naye wakukusaidia wewe tulia tu vuta pumzi, ukipata mtu mzuri hujielewi subiri upata kiruka njia ndiyo utatulia kiroboto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujawai pendwa wewe, demu akikupenda serius lazma awe na wivu na ww atataman uwe wake pekee hata taka kushare na mtu. Hatopenda uwe na marafik wa kike. Hiv vitu kama havija kukuta huwez juaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
unapendwa et? muulize kakupendea nini maana wanawake akili zao wanazijuaga wenyew, ivi unajua mwanamke anaweza kukupenda pasipo sababu yoyote ile ila wanaume tunapenda kwa sababu ana kitu flan, asa wew ndo unaonekan umependa ila ujijui anakudekea tu
 
Sasa tabu zote za nini mzee baba? Kujichosha na mamichepuko kibao bila sababu za msingi na mwanamke wako anakufeel kinoma!
 
NAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy.
.
.
bhasi kwakuwa najua kuna vimchepuko nachat navyo sana si nikafuta uchafu wote nikawa kidume najiamini kifua mbele
.
.
Leo nimemimit na bibie akachukua cm kama kawaida ya wanawake wanachokitafutaga huwa wanakipata, leo ilikua siku yake ya kukipata anachokitafuta.
.
.
Hta haikuchukua zaid ya dk3 naona bibie kabadilika sura tyr, ile kurudsha sim naona chats zote za mchepuko hata sikuamini, alichofanya akanambia nashukuru amelegea htr zile chats ni htr kwa afya wakuu emesepa zake nmejarib mwomba wapi.
.
.
Ujinga nlofanya siku delete kumbe nili archive chat kwa iphone user wanajua wkt wa kufuta chat kuna option 2 huwa znakuja sasa me siku delete nka archive bila kujua
.
.
Nmemwacha asepe ntamchek ksho morning atakuw katulia nawaza sound za kumpa hapa nampenda sana jaman huyu bibie ndo wife material wangu. Huyu bibie kajitoa sana kwangu ananipenda sana najuta hapa akinisamehe naahidi kutuliaa .
.
.
Usisiamin smart phone ako jaman unaweza futa hata picha zote afu moja ikabakia, smartphone zinanisnitch sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Unauliza nini sasa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom