stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,746
- 27,217
Hapo naona ulituona watu wa timu Tecno ma genius wa hatari sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umakini kakosa kwenye simu ya kwanza hiyo ya pili atatoa wapi umakini?Nunua sim ya pili ambayo hataijua ,pia sajili na line nyingine ambayo hatakiwi kuijua.Fanyia ujambazi wako hiyo,sim yako akitaka unamuachia hata wkend nzima kwa sababu ni takatifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...za mwizi 10,000Za mwiz 40
Sent from my iPhone using JamiiForums



Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Tusizilaumu simu cha muhimu ni kubadili tabia tu. Simu wala sio mzinzi bali ni wewe mtumiaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua sim ya pili ambayo hataijua ,pia sajili na line nyingine ambayo hatakiwi kuijua.Fanyia ujambazi wako hiyo,sim yako akitaka unamuachia hata wkend nzima kwa sababu ni takatifu.
Sent using Jamii Forums mobile app


Mwanaume kufumwa na sms za kipuuzi kwenye simu ni UPUMBAVU.
Hapa nawaza namrudshaje kwa laini aeleweHapo naona ulituona watu wa timu Tecno ma genius wa hatari sana...
Sent using Jamii Forums mobile app


Mwanaume rijali hachepuki anatimiza wajibu kuwapa faraja wanawake wapekwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume kuchepuka ni LAZIMA... Kuchepuka kwa Mwanaume sio kuwa hampendi Mwenza wake...
Wanaume tu ndo tunaelewa Wavulana hawawezi elewa
Ufunguo unaofungua makufuli mengi huitwa MASTER KEY ila kufuli linalofunguliwa na kila ufunguo ni USELESS!Hivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Mimi siyo binadamu wa kawaida kama nyie.Yatakukuta mkuu, me nshawai kaa meza moja na madem wa4 wote wangu na hawakujuana wewe unaweza?? Mbinu zote za kuchepuka nazijuaa. Mkuu hata ufanye nn za mwiz40 tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
swali zuri hiliHivi kama upo katika mahusiano na unadai unampenda kiasi hiko kwanini unachepuka?
Ufunguo unaofungua makufuli mengi huitwa MASTER KEY ila kufuli linalofunguliwa na kila ufunguo ni USELESS!
Mimi siyo binadamu wa kawaida kama nyie.

waachie wenye maujuz yaoNAKAZIA tena wanabodi usiiamini smartphone yako hata siku moja leo yamenikuta makubwaa. Zimepita kama 2weeks bila kuonana na bibie, sasa leo si tukapanga tutoke out tukainjoy.
.
.
bhasi kwakuwa najua kuna vimchepuko nachat navyo sana si nikafuta uchafu wote nikawa kidume najiamini kifua mbele
.
.
Leo nimemimit na bibie akachukua cm kama kawaida ya wanawake wanachokitafutaga huwa wanakipata, leo ilikua siku yake ya kukipata anachokitafuta.
.
.
Hta haikuchukua zaid ya dk3 naona bibie kabadilika sura tyr, ile kurudsha sim naona chats zote za mchepuko hata sikuamini, alichofanya akanambia nashukuru amelegea htr zile chats ni htr kwa afya wakuu emesepa zake nmejarib mwomba wapi.
.
.
Ujinga nlofanya siku delete kumbe nili archive chat kwa iphone user wanajua wkt wa kufuta chat kuna option 2 huwa znakuja sasa me siku delete nka archive bila kujua
.
.
Nmemwacha asepe ntamchek ksho morning atakuw katulia nawaza sound za kumpa hapa nampenda sana jaman huyu bibie ndo wife material wangu. Huyu bibie kajitoa sana kwangu ananipenda sana najuta hapa akinisamehe naahidi kutuliaa .
.
.
Usisiamin smart phone ako jaman unaweza futa hata picha zote afu moja ikabakia, smartphone zinanisnitch sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usinifananishe na vitu vya ajabu. Mimi ni zaidi ya binadamu.We ni jini??
Sent from my iPhone using JamiiForums