Wote ni gudluking bana usicheze nao kabisa
mie sijui mambo ya nasaba,nilidrop out shule baada ya kunishinda,nipe darasa WOS...
labda hicho kigezo cha goodlooking kimewakwaza wengi,okey lemme rephrase lets go for guys who are 'average' lol,tusiende kwa watu ambao obvious wana features ambazo ni mushkeli lol.......watu mna hasira ngoja nijifiche.:behindsofa:
Ha ha ha ha ha but you can see it for urself i aint lyingUsijekutoa copy chakavu ala VOR! hakikisha technolojia unayotumia siyo obsolete hahahah
si unaona unavyopendeza ukitoa maneno matamu ae sante sana dada yangu kipenzi..
[URL="http://www.google.co.nz/imgres?imgurl=http://www.funtasticecards.com/postcard/images/thank-you-cards-roses-red-animated.gif&imgrefurl=http://www.funtasticecards.com/e-sentimental-cards.htm&usg=__FIOF9L2-rx2EcLy8Dlu-LR0XLLo=&h=318&w=408&sz=127&hl=en&start=0&zoom=1&tbnid=TBbw2OvPXPIK8M:&tbnh=166&tbnw=213&ei=sLBKTe2gFYLyvQOLtpTsDw&prev=/images%3Fq%3Dthank%2Bu%2Bcards%26um%3D1%26hl%3Den%26client%3Dfirefox-a%26sa%3DN%26rls%3Dorg.mozilla:en-US😱fficial%26channel%3Ds%26biw%3D1256%26bih%3D630%26tbs%3Disch:1&um=1&itbs=1&iact=hc&vpx=824&vpy=341&dur=820&hovh=198&hovw=254&tx=148&ty=157&oei=grBKTfuDLIS3ccyqxLwL&esq=4&page=1&ndsp=15&ved=1t:429,r:13,s:0"]
[/URL]
Aisee haya bana ngoja ninyamaze
Duty Calls I will be back later...,
My challenge still exists naomba mtu alete picha ya mwanamke mbaya hapa mimi tamuonesha uzuri wake...., (Please ugonjwa au mtu kujitakia kwa kujiachia)
Laters...
Kwani wewe sio gudlukin???Napita tu maana hapa hapanihusu
mambo JF...
Nimesikia tu sina uhakika na hili,kuwa moja ya sababu zinazofanya watoto kuwa bullied mashuleni ni kutokana na kuwa na facial features ama maumbile yaliyo tofauti kidogo,kwa mfano masikio makubwa,lol pua ndefu ama unene uliozidi...
nilikuwa natoa tu angalizo kwa wana JF wenzangu tunapochagua wenzi wa maisha then,tuhakikishe tunachagua mbegu iliyo bora lol,go for someone who is really good looking ili hata watoto watakaozaliwa nao watoke wazuri kua void bullying........
msinishushue mie nimesikia tu..:msela::msela::msela:
Kumbe muoga eehhh.
Ila kweli mwenzangu aahhh unakuta yaani mmmmhh ah ngoja niishie hapa. Nitarudi