Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,407
nitawahi wala usijaliUnakaribishwa kwa limoyo lote. Uwahi sasa kuja
nitawahi wala usijaliUnakaribishwa kwa limoyo lote. Uwahi sasa kuja
Leo usiku ulali
Kwenu WAPMambo ya kawaida hayo uku kwetu ukifa unapelekwa chini ya bahari unafungwa na jiwe mazishi yameisha samaki wanakula mpaka basi
Ndo ulichokiona thread nzimaUlali=Hulali
Pole mwaya best. Mwambie mganga wako akupe ile Dawa tambati ya sengo.Nitaota wallah
Aya nakusubiri mpendwanitawahi wala usijali
hahahahahahahahaNdo ulichokiona thread nzima
hahahahahahahaha nitamwambia hakikaPole mwaya best. Mwambie mganga wako akupe ile Dawa tambati ya sengo.
Yaani hata hamuogopi utisho wa thread nyingi mnapanga miadi tu!?Aya nakusubiri mpendwa
hahahahahahahaha usiku wa Leo naamini sitaota hizi pichaAya nakusubiri mpendwa
Leo usiku ulali
Hahahahanakuja kulala kwako
Yeah ipo. Kwapua mali yoyote ile katika sehemu iliyo mbali na kituo cha Polisi.Hakuna sehem wanachoma maiti hapa tz, ili nikifa nichomwee?
Nitaota wallah
Ukisikia upele umepata mkunaji ndo leoHahahaha
Ahahaha!! Acha uoga mzawa.atakaye nizika hivo tutatoana roho..
hahaaa ongezea akitaka kurahsisha awe karb na sheri na matairiYeah ipo. Kwapua mali yoyote ile katika sehemu iliyo mbali na kituo cha Polisi.
Tutaogopa vingapi dunia hii mkuu. Alafu mi nilipozaliwa nishaona watu live walioumizwa au kuuawa zaidi ya hizo picYaani hata hamuogopi utisho wa thread nyingi mnapanga miadi tu!?
Yani nae anajikunja kuquote upuuzi, kujifanya ujuaji mwingihahahahahahahaha