Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,180
- 45,906
Mkuu kumbe tupo wengiNingekuwa na uwezo ningelazimisha nikifa nipigwe kiberiti majivu yangu yakatupwe baharini nipotee kabisa, Masuala ya makaburi siyapendi basi tu hata nikisema bado watanizika nyumbani wananzengo!..
Mimi naogopa sana kaburi aisee
Mambo yangu yakuenda vizuri ntaacha wosia nichomwe moto tu