Jinsi wimbi la bahari lilivyoikomboa Japan dhidi ya Mongolia

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Kuna kipindi Mongolia ilikuwa ni mamlaka yenye nguvu sana duniani na pia hatari katika vita. Mongolia ilkuwa ishavamia sehemu kubwa ya Asia pasipo Japan.

Kublai Khan, mfalme wa Mongolia, alitaka kuivamia japan kupitia bahari na alihakikisha ana kwenda na meli za kivita nyingi sana ili kuichukua Japan.

Cha kustajabisha ni kwamba Mongolia ilishindwa kuivamia Japan mara mbili katika wakati mbili tofauti kutokana meli zao za kivita kukumbwa na dhoruba pale walipoikariia Japan. Hiyo ilikuwa mwaka 1274 na 1281.

Inasadikia mwaka 1274 Mongolia walikwenda na meli kama 500 hadi 900 huku wakibeba wanajeshi kama 30,000 hadi 40,000. Karibia moja ya tatu ya meli zilizamishwa na mawimbi.

Then mwaka 1281, Mongolia waliandaa meli 4,400 wakiwa wamebeba wanajeshi 140,000. Walirudi wakakuta Wajapan wamejenga fensi za kuzuia tishio lengine la Mongolia, so meli zikakosa maeneo ya kupaki meli zao, wakati wakiwa bado wanatafuta maeneo mazuri ya kupaki meli zao ndio Wimbi tena likaja likaharibu meli na zikabakia meli chache kwa mamia, wanajeshi wa mongolia waliobaki walikamatwa na wengine waliteketezwa na Samurai wa kijapan.

Wajapan waliamini kwamba kisiwa chao kilikombolea na mungu RAIJIN. Hadi leo wimbi lile la baharini lililo angusha meli maelfu za Mongolia waliliita KAMIKAZE (divine wind) (upepo mtakatifu wa kiMungu)
 
Mkuu sasa mbona mongolia ni land locked country kama uganda, yani hiyo Nchi hawana bahari waliwezaje kujenga hizo meli na kuzipeleka baharini?
Mongolia na mongol empire ni tofauti mleta Uzi alikuwa anamaanisha mongol empire.

Ukraine, Georgia, Iraq, Iran, Pakistan, china, baadhi ya sehemu za Russia na viinch vingine ilikuwa sehemu ya mongol empire
 
Kuna kipindi Mongolia ilikuwa ni mamlaka yenye nguvu sana duniani na pia hatari katika vita. Mongolia ilkuwa ishavamia sehemu kubwa ya Asia pasipo Japan.

Kublai Khan, mfalme wa Mongolia, alitaka kuivamia japan kupitia bahari na alihakikisha ana kwenda na meli za kivita nyingi sana ili kuichukua Japan.

Cha kustajabisha ni kwamba Mongolia ilishindwa kuivamia Japan mara mbili katika wakati mbili tofauti kutokana meli zao za kivita kukumbwa na dhoruba pale walipoikariia Japan. Hiyo ilikuwa mwaka 1274 na 1281.

Inasadikia mwaka 1274 Mongolia walikwenda na meli kama 500 hadi 900 huku wakibeba wanajeshi kama 30,000 hadi 40,000. Karibia moja ya tatu ya meli zilizamishwa na mawimbi.

Then mwaka 1281, Mongolia waliandaa meli 4,400 wakiwa wamebeba wanajeshi 140,000. Walirudi wakakuta Wajapan wamejenga fensi za kuzuia tishio lengine la Mongolia, so meli zikakosa maeneo ya kupaki meli zao, wakati wakiwa bado wanatafuta maeneo mazuri ya kupaki meli zao ndio Wimbi tena likaja likaharibu meli na zikabakia meli chache kwa mamia, wanajeshi wa mongolia waliobaki walikamatwa na wengine waliteketezwa na Samurai wa kijapan.

Wajapan waliamini kwamba kisiwa chao kilikombolea na mungu RAIJIN. Hadi leo wimbi lile la baharini lililo angusha meli maelfu za Mongolia waliliita KAMIKAZE (divine wind) (upepo mtakatifu wa kiMungu)
Wangechangama wangetoa machotara wazuri' Sana..na vile vitumbua vya wajapan..tu gefaidi so mchezo,maana tumbua bana Lina Raha yake wakati wa kulila hasa ukiwa unalitazama
 
Kipindi kile Japan wapo kwenye tamasha la muziki wakisheherekea.
Mongolia akajifanya, yeye ni kidume sana. Akaivamia Japan na kuua watu tena raia na wengine kuwateka pamoja na wanajeshi.
Japan akaona hii ni dharau sana, ngoja awaonyeshe walivyo.
Sasa hivi Mongolia anapumulia mashine huku akiomba huruma kwa watu. Kibaya zaidi bado anao mateka mpaka sasa hivi raia wa Japan pamoja na wanajeshi. Anachokifanya Japan amezuia misaada, hakuna msaada wowote utakaongia Mongolia. Akiua mateka tu na wao wanakufa kwa njaa na kichapo.
 
Mongolia na mongol empire ni tofauti mleta Uzi alikuwa anamaanisha mongol empire.

Ukraine, Georgia, Iraq, Iran, Pakistan, china, baadhi ya sehemu za Russia na viinch vingine ilikuwa sehemu ya mongol empire
Ahsante boss
 
Back
Top Bottom