Serikali ya awamu ya tano ni ya kipekee sana maana inapambana kufa na kupona ili kutekeleza ilani yao kwa ufanisi wa hali ya juu! Kiufupi sasa treni imekamata njia yake kwa kasi stahiki, namuonea sana huruma mtu atakayejaribu kukisumbua chombo hicho ambacho tayri kimechanganya mwendo!
Ushauri wangu tu kwa upinzani na wanaharakati ni kuwa mambo wanayoyapigania yanaingilia njia ya chombo na kwa spidi ya chombo.., kwa hiyo bora wapande chomboni wakae kwa adabu yote safari itapofika mwisho tutatafuta crew nyingine ya kutuendesha, na huenda wakawa wao. Kwa ujumla subira na adabu vitalipa, ila ujinga wa kujiingiza kwenye njia ya chombo wakati kipo kwenye spidi..,