Shikamoo Faiza Foxy 😀😀
Mtupie pepo mkuu!Hata kama ni masikhara naona unataka kupitiliza sasa! Na kama unachosema ni sahihi naomba ufanye hivyo sasa
Natumia jina halisi na picha pia ni tofauti kabisa na mtu anayetumia ID na picha bandia
Tunaweza kufanyiana utani wa hapa na pale lakini lazima heshima iwepo
Matapeli wengi ambao nnahisi wewe ni mmojawapo huwa hawadai pesa mbele, wakijifanya wao ni wasamaria wema.
Hata hili tangazo lako nnauhakika linakuzalia PM za wajinga ndiyo waliwao wengi tu.
Kiazi mbatata tu huyo Kama yule clever queenha ha haaaa Mama sasa naona unautani na sisi wasamaria!!!!!