Angalizo na ushauri muhimu

Matapeli wengi ambao nnahisi wewe ni mmojawapo huwa hawadai pesa mbele, wakijifanya wao ni wasamaria wema.

Hata hili tangazo lako nnauhakika linakuzalia PM za wajinga ndiyo waliwao wengi tu.
Jaribu kuweka uzi unaotaka watu walipigwa hela na kutapeliwa na mshana watoe shuhuda zao, hapa tutathibitisha haya usemayo.

Utakuwa umesaidia wengi pia
 
Jaribu kuweka uzi unaotaka watu walipigwa hela na kutapeliwa na mshana watoe shuhuda zao, hapa tutathibitisha haya usemayo.

Utakuwa umesaidia wengi pia


Ungejuwa maana ya Wajinga Ndiyo Waliwao usingeuliza hayo.

Kuna uzi humu ulikuwepo juzi kuna kijana kishaliona hilo. Utafute.
 
Tena ikiwa na proof itakuwa vizuri sana,

Isije kuwa mtu kaamua kutumia hisia zake tu


Unaweza kuitafuta na wewe, si uzi wangu kama una proof au hauna mimi hainihusu.

Wajinga Ndiyo waliwao.
 
Qur'an 2:
3. Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.
Preach what you practice Weye kidudumtu uso haya wala soni tuwekee ile link ya utapeli la sivyo tuprove uchimvi na uongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…