hahaha. ....hahaha. ...dah...jamani hoja zingine zikiwazidi akili ni bora mkanyamaza tuTanzania ni nchi huru na tunafanya mambo yetu kwa umakini Mkubwa. Mpaka sasa majeshi yetu yapo DRC yakipambana kwa mafanikio na waasi wote bila kujali wanasaidiwa na nani. Tanzania ni nchi kubwa
Nadhani hii ni nadharia.Kwa upande wa usalama, Tanzania ni next level. Hakuna wa kutulinganisha katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki
M ana hulka, silka na tabia ya kujiamria mambo. Je ameshakuwa muungwana vya kutosha kusikiliza ushauri?Angalizo lako ni la msingi. Ila unapaswa kuelewa kuwa Rais wa nchi ni taasisi na si mtu mmoja. Wanapojadiliana hawafanyi kwa siri. Kunakuwa na wataalam wa masuala mbalimbali
Magufuli ni zaidi ya huyo Mnyarwanda. Baada ya miaka mitano mtakuja kuelewa na kumjua ni mtu wa aina gani. Lazima UKAWA muufyateMnyarwanda yule ni very smart, hana akili za kukurupuka na anajua anachokifanya.
Kujifanya rafiki mwema ni kichaka tu cha kumficha mkurupukaji wetu.
Tusubiri.
Ni uhalisia. Ona nchi za jirani na linganisha na hapa kwetuNadhani hii ni nadharia.
Sasa unataka asikilize ushauri wa hawa wanaobadili gia anganimkila siku?M ana hulka, silka na tabia ya kujiamria mambo. Je ameshakuwa muungwana vya kutosha kusikiliza ushauri?
kina nani walisema?Kwani huyu K si ndo mlisema tuige kutoka kwake ili nchi isonge mbele? Nini kinawauma sasa?
asikilize washauri wa ndani...au wako incompetent?Sasa unataka asikilize ushauri wa hawa wanaobadili gia anganimkila siku?
Unataka kumfananisha mtu aliyekaa madarakani kibabe more than ten years na huyu ambaye ana miezi isiyozidi 9?Magufuli ni zaidi ya huyo Mnyarwanda. Baada ya miaka mitano mtakuja kuelewa na kumjua ni mtu wa aina gani. Lazima UKAWA muufyate
mkuu sasa K lazima imzimikie M....sasa hujui katika gender K inasimama for what...and M inasimama for what....Kauli za "M" juu ya Urafiki na "K" zinaonesha ni jinsi gani "M" anavyomzimikia "K". Lakini awe makini sana na urafiki huo, ili kulinda na kudumisha Usalama. "M" usimruhusu "K" afike mpaka chumbani unakolala.
Ni Angalizo la msingi sana. Sitaki kuongea mengi, lakini mwenye kutafakari ataelewa.
Nawasilisha.
hahaha. .aisee. ...CCM oyeeeeee...piga makofi kadaThread uchwara!
Kwani umesikia Washauri wa Ndani wamemshauri asishirikiane na Rwanda?asikilize washauri wa ndani...au wako incompetent?
Mimi sijaongelea mambo ya Rwanda hapa...you must be quoting a wrong person...Kwani umesikia Washauri wa Ndani wamemshauri asishirikiane na Rwanda?
Nenda kanywe chai maana hiki unachoandika si cha kawaida.Ni uhalisia. Ona nchi za jirani na linganisha na hapa kwetu
Comment uchwaraThread uchwara!