Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
- Thread starter
- #41
My love Kaunga,thanx,naomba usome nilichomjibu Elizabeth Dominic hapo utapata majibu mengine.Naomba usimuogope Mungu bali mjue Mungu kuanzia leo!
Last edited by a moderator:
Pamoja na ulizozitaja, mi namuogopa Mungu zaidi (naogopa kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu)
Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au unaogopa maradhi,au una mke/mume au unaogopa macho ya watu,hizi ni sababu nyepesi sana zina muda. . . . . . . . . . . . . . . . ,. . . Siku matarajio au sababu yako ikikosa mashiko unaweza kujiona mjinga na huna maana.Mfano;unapofanya uaminifu kwa sababu ya maradhi,je ikipatikana dawa ya maradhi hayo?Uaminifu wako si utafikia kikomo? . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Fanya au kuwa mwaminifu kwa sababu ni ubinadamu,uzinzi au kuwa na wanawake/wanaume wengi ni kinyume na ubinadamu,yaani ni tabia ya wanyama wasiofikiri!
Mmmmmmmmmh.............shauri yako..utarudi hapa siku moja na mchozi
Nitakuja hapa soon na wedding invitation! Si u will be a best man eeh?
Okey ...bu for one condition "lazima meza ya best man ipendeze kwa vinywaji full stop"
U name any color of the drink u want best shem; ila ubehave tu, isije ukanifananisha na best lady! Au ukajiona bwan'harusi!
Gilo24 ni kwanini unadhani Mungu anatakiwa aogopwe?
Nita-behave usijali lakini in one condition "best lady awe mnywaji pia"
Kongosho kibibi kizee cha turin, charminglady tuna makovu tayari, Smile angalau...ila in one condition "nitampeleka mwenyewe nyumbani after parry"
Kongosho kibibi kizee cha turin, charminglady tuna makovu tayari, Smile angalau...ila in one condition "nitampeleka mwenyewe nyumbani after parry"
The Boss,yes una weza usijaribu,lakini kwanini ni kosa kufanya ngono kabla ya ndoa?Ndoa nini? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Pamoja na hayo mi sijasema uwe mwaminifu kwa mtazamo wa kidini!
Duh, huyu mtoto anichague nini tena?
Wakati baba lao lipo?
Nikumbushe Mito amri ya sita inasemaje vile?