kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,679
Kitu hujui, anayejua ametoa darasa huru... Bado unabisha!!! Inashangaza sanaNaomba urudie kuleta picha nzuri za bandiko lako. Tuwekee picha nzuri zenye kutofautisha picha ya colgate ya bandia na halisi.
Usipotuwekea, basi tutajua wewe ni mamluki wa kuharibu biashara za wenzako. Nadhani wewe ni Whitedent.
Mimi sijawahi ona Colgate inayofunguka bika kuharibu seal yake.
Kama hizi zilizopo na fake! basi wanaozitengeneza ni wazuri sana, tena wala hawahitaji kutumia brandy ya Colgate ni bora waweke brand yao watauza sana sana.
Kama hujawahi kutumia ambayo box linafunguka na kufunga (haijafungwa kwa gundi) basi ujue kuwa maisha yako yote umetumia colgate feki. Finish