Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,220
- 27,432
nami ni mpenzi wa colgate na sasa nitakuwa makini wakati wa manunuzi
Jaribu kununua katika maduka ya kishua sehemu ambazo wazungu na wahindi wanakwenda kufanya manunuzi ya dawa zao za miswaki utakuta original huku uswazi watu wanatumia feki sababu ya kupenda kuzembea kufuatilia usalama wa bidhaa wanazotumia.nami ni mpenzi wa colgate na sasa nitakuwa makini wakati wa manunuzi
Tatizo hata hao wenye madula wanachoangalia ni bidhaa yenye bei nafuu ili wapate wateja wengi. Asante kwa taarifa nami ni mhanga wa hii kitu maana yenyewe kwanza ni kali tofauti na hizi za sasa si kali sana kama ile originalBado natafuta....hauwezi amini hizi feki ndizo zimesambaa, nimepita maduka yote kila nikiulizia ile Colgate ya single action nyeupe.....naletewa hizi takataka feki.
Tbs mnakesi ya kujibu kwa kuzembea kuzibaini hizi dawa feki......
Bado natafuta kesho nitajihimu niende maeneo ya mjini kule nikacheki......
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Usiamini hiziHuwa nazinunua kwenye maduka makubwa ya dawa but kwamba ni og au sio og ndio kitu nilikuwa sijui jinsi ya kuangalia hivyo nakushukuru sana mleta mada next tym nitazingatia hizi points ulizotoa hapa,waTanzania wengi sana tunatumia bidhaa fake sema ni vile tu hatujui.
Ajasema Colgate fake inaua, sasa hiyo ya waafrika kufa kwa malaria na kipindupindu na sio matokeo ya ubora duni wa Colgate, umeitowa wapi mjomba!!!?Kwisha habari yetu
Ila kwa jinsi waafrika tulivo wagumu tutakufa kwa malaria/kipindupindu sio matokeo ya ubora duni wa Colgate
Herbal ni jina tu unaambiwa angalia vigezo hivyo! unaweza kuta herbal fakeMm siku zote natumia Colgate Herbal, hii ni Nzuri na nyingi hazijachakachuliwa
Box inasema South Africa, sijawahi sikia Colgate ya Nairobi......nadhani fake zinatokea huko.......Hii colgate si ata Nairobi inatengenezwa?
Yes mojawapo ya sifa ya colgate ni ukali hadi inawaka moto mdomoni.....na ukipiga hapo mswaki unakuja kuusikia mdomo mwepesi balaa.Tatizo hata hao wenye madula wanachoangalia ni bidhaa yenye bei nafuu ili wapate wateja wengi. Asante kwa taarifa nami ni mhanga wa hii kitu maana yenyewe kwanza ni kali tofauti na hizi za sasa si kali sana kama ile original