Noted!Habari za jikoni kabisa nilipo mimi ni kwamba ccm itatumia dvd mbali mbali za viongozi wa ukawa pindi wakimshambulia mgombea wetu wakati akiwa ccm. DVD hizo zitawekwa pindi mkusanyiko wa watu unapokuwa umeanza kabla ya muda wa kuhutubia kuanza. Naomba ukawa wasijibu mashambulizi kwani ccm hawata tangaza sera zaidi watatumia kipindi chote cha kampeni ku waatack ukawa. Ukawa inapaswa iwapuuze na zaidi wajikite katika kutangaza sera. Tupo wengi jikoni, tutazitoa mbinu za ccm kila tutakapo zipata
baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
Tehetehetehetehe. Wapinzani wataisoma namba safari hii. Waache wapige mayowe huku wenzao wakipanga mikakatibaada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
Watu wa pwani hawawezi kumpigia kura fisadi Lowasa. Wamebadilika siku hizi. Wanampigia mtu ambaye atawaletea maendeleo na si wa porojo kama Lowasahivi kwa akili zako tu (i) kama 2010 Kikwete alipata 61% unafikiri CCM-Magufuri atapata zaidi ya hizo?
(ii) Watu wa pwani wamebadilika tofauti na wale wa miaka ya nyuma, CCM watashangaa kama walivyoshangaa kwenye SERIKALI ZA VIJIJI NA VITONGOJI. Mimi Nipo Mkoa wa PWANI WILAYA RUFIJI. CCM WAMESAMABARATIKA. YAANI HICHO CHAMA KIMEANZA KUTOWEKA TANGU MWAKA JANA
baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
acha kufikiria kwa uharo ...2010 jk alipata 61 kwa kuchakachua unadhani magufuli si atapata 21%
watu wa pwani hawawezi kumpigia kura fisadi lowasa. Wamebadilika siku hizi. Wanampigia mtu ambaye atawaletea maendeleo na si wa porojo kama lowasa
Sasa ikiletwa ya mlipuko...Arusha...!?
baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
nadhani huu utafiti uliufanyia lumumba toilet.hivi unadhani maelfu ya wana ccm wanaohamia chadema hawapunguzi huu utafiti wako uchwara usio na chanzo chochote cha taarifa?kwa taarifa lowasa ana 40% ndani ya ccm.yaani hao ni nje ya ukawa na wale wasio na chama.
Lowassa hachafuki tena.
Mbinu ya kitoto...Watu wameamua