mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
Aaah, Viwanda havijaongezeka vingi vimekufa labda kama migodi ni viwanda.Mhandisi ningeomba utuepe data kihandisi, hivi hiyo migodi inatumia MW ngapi?
Angalizo:
Matumizi ya umeme nchini yameongezeka sana, si kwenye migodi tu bali hata huku mijini. Majumba yameongezeka, viwanda vimeongezeka na bado mahitaji yanaongezeka. Mgao tutaendelea kuwa nao hata katika siku za usoni kama jitihada za makusudi hazitafanyika kuwa na umeme wa ziada.
Ongezeko la mahitaji linakadiliwa kuwa 100MW kwa mwaka!