Habar za Chief ziko poa sanaaaa km kwako !!.
Zinaogopwa sababu JF society ndogo sana ambayo yanayofanyika humu ni Recycling process ,, humu ndio mahali pekee ukisikia "Mtandao unaupata" na wala hawaogopi

.
Ukimwi upo ,anayejifanya kutouona kuna mawili----

Anangoma kabisaa ,kwaiyo anawapoteza watu ( siunajua shetan nishetani).

Anafanya sanaaaaaaa ngono zembe alafu nimwoga kupima sasa anajipa Moyo ( Haupo

).
Nachofurahia ,, siku izi wanajitokeza watu mbali mbali kuzungumzia ...Sure Africans ndio binadam pekeee wasoogopa Ukimwi.