Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Aidha wewe ndo umewapanga au umepangwa sasa unaamua kuja kututaarifu na fake id. Ungekuwa muungwana ungekuja na id yako ya cku zote na kutoa ushauri. By the way asante kwa ushauri
Kweli kabisa na sio wa kupuuzia sababu nyuzi za ukweli huwa hazipendwagi humu hivyo usione wachangiaji ni wa kuhesabu basi ukajua yametungwa, haya yapo mdogo wangu.Mbona umeikimbia id yako?!..ila ujumbe n mzuri
Kwani wewe unao wangapi?Asante sana kwa kutukumbusha dear.
Well said mkuu UKIMWI upo wapendwa endeleeni kueka eka na kuekwa ekwa ovyo.Habarini wanajamvi,
Heri ya mwaka mpya.
Leo imenibidi nitumie ID ingine.
Kuna wana jf humu ndani sijui ndo stress au nini? utakuta bi dada kapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote anatoka nao kimapenzi tena pekupeku bila hata kujali magonjwa, mkaka nae the same same thing, ni kitu kibaya sana kwa maisha tuliyonayo sasa ni hatari mno, hatuangalii nyuma yetu kuna akina nani wanatuangalia ( hapa nasemea kwa wenye familia kama za kwetu wenye madogo nyuma yetu na wazazi/walezi wanaotuangalia), wazazi/walezi hawafurahishwi na haya mambo, hivi ni mzazi/mlezi gani angependa kuona mwanae anaishia kumeza ARVs?!? . Ukimwi ni hatari sana jamani, kumeza dawa kila siku si mchezo, Tuwe aangalifu, we have to use ABC
Abstain from sex, Be careful,use Condom.
Alamsiki
habari chief!Ingawa umesema kweli !!.
Ila nyuzi km hizi humu ndani zinaogopwa sanaaaa !!.
MazwazwaKutokana na nyuzi za aina hii kuwepo na hii siyo ya kwanza huwa najikuta naamini kwa asilimia kubwa tu kwamba haya yapo na yataendelea kuwepo.
Ila yale Mazwazwa ndio yatakayoangamia.



Hakika Mima white cute kipo cha kujifunza !!!.Kipo cha kujifunza japo watu watajifanya hawaelewi ila imepenya mwenye kuelewa kaelewa

Habar za Chief ziko poa sanaaaa km kwako !!.habari chief!
kwann zinaogopwa wasema?
.
Anangoma kabisaa ,kwaiyo anawapoteza watu ( siunajua shetan nishetani).
Anafanya sanaaaaaaa ngono zembe alafu nimwoga kupima sasa anajipa Moyo ( Haupo
).Hahahaa. Mie nalionaga kule Siasani.Mimi nililisikia mara ya kwanza kwa shoga yangu @mbitizaya , basi kila nikilisikia namkumbuka