nyarutarama
Member
- Dec 20, 2017
- 13
- 13
Habarini wanajamvi,
Heri ya mwaka mpya.
Leo imenibidi nitumie ID ingine.
Kuna wana jf humu ndani sijui ndo stress au nini? utakuta bi dada kapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote anatoka nao kimapenzi tena pekupeku bila hata kujali magonjwa, mkaka nae the same same thing, ni kitu kibaya sana kwa maisha tuliyonayo sasa ni hatari mno, hatuangalii nyuma yetu kuna akina nani wanatuangalia ( hapa nasemea kwa wenye familia kama za kwetu wenye madogo nyuma yetu na wazazi/walezi wanaotuangalia), wazazi/walezi hawafurahishwi na haya mambo, hivi ni mzazi/mlezi gani angependa kuona mwanae anaishia kumeza ARVs?!? . Ukimwi ni hatari sana jamani, kumeza dawa kila siku si mchezo, Tuwe aangalifu, we have to use ABC
Abstain from sex, Be careful,use Condom.
Alamsiki