Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,845
Angalizo..
Pindi unapotoa photocopy kitambulisho chako cha Utaifa, na mtoaji akakwambia kimetoka vibaya, hakikisha unachukua na nakala ile iliyotoka vibaya. Watoaji Hawa wa photocopy wengi wao wana tabia ya kuziuza kwa wahalifu ili wasajili line za simu na kufanya uhalifu wa kimtandao ambao mwishoni unaweza ukaingia wewe matatizoni.
Tafadhali mtaarifu na mwenzio.