MZEE WA ROCK
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 622
- 152
Kuipenda ccm lazima uwe mwendawazimu kwanza
Mkuu kumbuka hukumu hizi za ubunge za zinatolewa na CC ya chama cha magamba chini ya uenyekiti wa fisadi papa JK akizungukwa na TISS. Jaji mhusika anakuwa msomaji wa maamuzi ya cc mafisadi as just a rubber stamp.WANA JF LEMA HAKUTIWA HATIANI KWA WIZI WA KURA, WALA MASANDUKU YA KURA. HATUPENDI KUINGILIA MUHIMILI WA MAHAKAMA ILA KWA JINSI NINAVYOFUATILIA KESI JIMBO LA SEGEREA, TUSIJEAMBIWA KUWA USHAHIDI HAUJAJITOSHELEZA HUKU MASHAHIDI WAMESHAELEZA JINSI JAMAA ALIVYONASWA AKIHAMISHA MASANDUKU NA HAKUWA MSIMAMIMIZI PAMOJA NA UKIUKWAJI WA TARATIBU NYINGINE.
Naomba kuwasilisha
Itakula kwao, maana serikali yenyewe imefulia halafu wanaitisha chaguzi. waache wafilisike kabisa ili iwe rahisi kuwachomoa magogoni
HILI LI NCHI PUMBAVU SANA!
Misaada yote itaishia chaguzi ndogo!
Anyway,CHADEMA Tunaongeza majimbo,though at cost of our economy!
Haya ni zamu ya CCM sasa kupata machungu!
Inaboa sana kwa kweli. Hivi kwa nini tusibadili katiba na kumpa ubunge yule eliyekuwa anafuatia kwa wingi wa kura mara ubunge wa mtu unapotenguliwa? Cant we go one step further? Gharama za marudio ya uchaguzi ni kubwa