Angalizo hukumu jimbo la segerea.

Angalizo hukumu jimbo la segerea.

hivi kwanini tanzania iko hivi? pesa za walala hoi zinapote bureeeeeeee masikini!!!
 
Leo upande wa mshitakiwa umemaliza kuwakilisha maahaidi wake kwa Mbunge wa Jimbo Hilo Makongoro Mahanga na Mkurugenzi wa Ilala ambaye alikuwa ndo msimamizi wa Uchaguzi kutoa Ushaidi wao.

Judge amehahirisha mpaka tarehe tajwa hapo juu

Source: Mwenyewe nililikuwepo mahakamani Leo.
 
haina shida....may sio mbali....tutapambana
 
Nashukuru kwa taarifa.

Siju, na Jaji wa Shauri hili ambalo Mpendazoe amewasilisha ushahidi wa wazi namna CCM + Mahanga walivyoiba kura na kupora ushindi, naye atajithamanisha kuwa sawa na tambala la kudekia choo cha umma?
 
Haki ya Wana wa Arusha imepokonywa bila sababu za msingi, kesi yenyewe haikuwa na kichwa wala miguu.
Natamani kusema kama utawala wa kidemokrasia ndiyo huu hatutaki utawala wa kidemokrasia, tunataka utawala wa kijeshi.

Ni heri ya vita inayotafuta haki, kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu.

JESHI CHUKUENI NCHI KWA KUPINDUA SERIKALI YA WAIZI
 
Sina hata miguu ya kutembea. Ngoja leo nikazuru vijiwe vya ccm maeneo ya bondeni nikawasikilize wanasema nini
 
Kama kweli Arusha haki imetolewa, na huko segerea wafanye hivyo haraka sana.
Mkuu katiba hii ya kipuuzi iliwekwa kwa lengo la kumlinda akishatangazwa na tume hakuna pa kuhoji ushindi wake tena.
 
Back
Top Bottom