Poleni sana. Ila matangazo yao yapo wakati wa kuangalia salio. Ukiangalia salio hata sasa hivi. unapata meseji kama hii hapa
Halafu hawa Voda walivyo wabahiri sijui kwa nini. Kwa nini isiwe siku nzima mfululizo kama TIGO?
Tatizo la wezi ni kwamba daima hawaridhiki hata ukiwapa nini watakuibia tu
Jamani watumiaji wa vodacom ikifika saa 11 jioni gharama ni zilezile msijisahau nasikitika kwanini voda hawakutangaza kuwa mwisho ni saa 11 jioni hii imenikuta mimi baada yakuongea najua naongea kwa sh 60 kwa dk kumbe naongea kwa 4** kwa dk nikajikuta nimemaliza pesa yangu yoote kwenye simu.

Bure ghari................. tunapenda sana vya bure ndo maana tunaibiwa kirahisi mnooooooooooooJamani watumiaji wa vodacom ikifika saa 11 jioni gharama ni zilezile msijisahau nasikitika kwanini voda hawakutangaza kuwa mwisho ni saa 11 jioni hii imenikuta mimi baada yakuongea najua naongea kwa sh 60 kwa dk kumbe naongea kwa 4** kwa dk nikajikuta nimemaliza pesa yangu yoote kwenye simu.
Janja ya nyani kula mahindi mbichi wanatuyeyusha hawa kwanini wasiseme wazi hii hai-apply kuanzia saa 5pm-9pm na kwa sasa wanatumia nguvu nyingi mno kujitangaza kama hii picha hapa...
Bure ghari................. tunapenda sana vya bure ndo maana tunaibiwa kirahisi mnoooooooooooo
Mliobaki VODA mpaka leo, mnapenda kuibiwa.. Msilalamike.
Pole sana hiyo ni DECI accademia!!!Jamani watumiaji wa vodacom ikifika saa 11 jioni gharama ni zilezile msijisahau nasikitika kwanini voda hawakutangaza kuwa mwisho ni saa 11 jioni hii imenikuta mimi baada yakuongea najua naongea kwa sh 60 kwa dk kumbe naongea kwa 4** kwa dk nikajikuta nimemaliza pesa yangu yoote kwenye simu.