Alimuua shetani..Nishashududia mtu anakuf kwa kutopelekwa hospital mpka ikawa too late eti wanamwambia aombe tuu. Mwingine ameambiwa asimshitaki mdeni wake polisi. Yaani hawa jamaa story zao ni kama mchezo wa kuigiza lakini ndo wanafanya kweli.
Mbali na majina yao maa. Mamlaka , sijui utukufu. Na jamaa marehemu Munuo aliwaambia alishamuua shetani tangu 2008 so wanakula bata tuu kusubiri kuingia Paradiso. Hawa jamaa ni shida
Halafu hii Tabia ya watumishi wa Kiroho kutembea na watu nyuma sijui wameitoa wapi yaani mtu anasimamiwa nyuma kama mgonjwa wa kifafa.
Sisi Rc hatuna hayo mambo kbsaMkuu hawa watu wamekuwa wapuuzi kupita kiasi Imani yangu inaenda inazidi kupungua kwao, Huwezi ambatana na Rundo la watu wamekutoka nyuma au wanakusimamia kwa lipi?
Wagonjwa wa Kifafa ndio huwa wanasimamiwa nyuma asije akaangukia kisogo ubongo ukamwagika.
Kanisa linaitwa "SHIKA NENO TENDA NENO"Huyu jamaa Na lisauti lake ni wapotoshaji.
Kuna mchagga mmoja ndiye aliyeanzisha hilo kanisa hapo Mbezi Beach wao ndio Wana mregard kama Yesu. Huyo Mchagga ndio wanamuita Elia Adam wa pili.
Jamaa alikufa miaka kadhaa nyuma wakaanza kusambaza uzushi eti ameonekana akipaa Huko Bagamoyo
Nashangaaga sana,,wao wanatwambia tuombe ulinz kwa Mungu ila wao wanawalinz waoHalafu hii Tabia ya watumishi wa Kiroho kutembea na watu nyuma sijui wameitoa wapi yaani mtu anasimamiwa nyuma kama mgonjwa wa kifafa.
Nimemsikiliza yupo sahihi mungu ni mungu na yesu ni yesu anaye takiwa kuabudiwa ni mungu baba na sio mungu mwana, mungu mwana ni daraja na si mungu, kaongea logic ambayo wakrito wengu walishwa maneno watapinga,Kuna mahubiri kutoka Kanisa la The Pool of Siloam church na somo ni Kati ya Baba na Mwana nani aabudiwe (wameweka mstari Yohana 4: 23-24 ) ...hivi nisaidieni hawa ni Wakristo? Fatilieni wenyewe muone mafundisho ya ajabu kwelikweli!!!
Nime update uzi ili kujibu hoja za watu kama nyie ...Nimemsikiliza yupo sahihi mungu ni mungu na yesu ni yesu anaye takiwa kuabudiwa ni mungu baba na sio mungu mwana, mungu mwana ni daraja na si mungu, kaongea logic ambayo wakrito wengu walishwa maneno watapinga,
Labda mkuu unaweza kunisaidia kitu kimoja...Hivi hizi jumuiya za Kikristo hazina wajibu kufuatilia vitu basic kama hivi? Tofauti za madhehebu zipo lakini huwezi kujiita Mkristo huku ukiamini Yesu si Mungu! Huku hujui Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli!
Kwani ccm ni mwana wa mungu au Mungu???Nime update uzi ili kujibu hoja za watu kama nyie ...
Ata Mungu mwana anapaswa kuabudiwa coz Jesus na Baba ni wamojaNimemsikiliza yupo sahihi mungu ni mungu na yesu ni yesu anaye takiwa kuabudiwa ni mungu baba na sio mungu mwana, mungu mwana ni daraja na si mungu, kaongea logic ambayo wakrito wengu walishwa maneno watapinga,
Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli ...ukielewa hiyo dhana itakuwa rahisi kutenganisha mambo ya Yesu akiwa ktk mwili kama mtu na kujua ni Mungu pia. Neno wa Mungu akawa mtu na akaitwa mwana wa Mungu .... mimba yake ilipatikana kwa uweza wa Roho Mtakatifu .... Hata pale alipo batizwa na Yohana sauti ilisikika kutoka Mbinguni ikimtambulisha kama mwana ....inabidi usome vizuri mistari kuanzia agano la kale ili uelewe mantiki ya Yesu kuwa Mungu na kwanini ujio wake katika mwili umemtambulisha zaidi kama mwana ....Labda mkuu unaweza kunisaidia kitu kimoja...
Yesu ni mwana wa Mungu au ni Nani?