Angalieni simu zenu WCF wanaita

Workers compensation fund wanaita watu kwenye oral kwa wale wasailiwa wa mwezi March 2017.
 
mkuu weka namba za simu.. Na kama wamepiga wamekuambia interview ni lini na wapi? .tuwe serious kwenye janga la kitaifa na sio kupanikisha watu wanasubiria kwenye hamna..
mkuu wewe c ndio uliye tuletea majibu baada ya kufanya utafiti na kujiridhisha watu wapo kazini.... vipi tena na hili la Leo tumuamini nani?
 
mkuu weka namba za simu.. Na kama wamepiga wamekuambia interview ni lini na wapi? .tuwe serious kwenye janga la kitaifa na sio kupanikisha watu wanasubiria kwenye hamna..

Sasa una-panic nini mkuu, wakati wewe ulishafanya uchunguzi na kudhibitisha watu wapo kazini tayari.

:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Ishu ipo hivi. Interviews ni kwa post mbalimbali na zipo spread out mwezi wa July. Interview ni ofisini kwao na watu wa kada mbalimbali wana tarehe zao. Cha msingi wangejitahidi kuwa transparent kwa kubandika majina na scores za watu kama walivyowaita.
 
Ishu ipo hivi. Interviews ni kwa post mbalimbali na zipo spread out kwenye huu mwezi wa July. Interview ni ofisini kwao na watu wa kada mbalimbali wana tarehe zao. Cha msingi wangejitahidi kuwa transparent kwa kubandika majina na scores za watu kama walivyowaita.
duh hii sasa Kali...... lakini wengine hatatusipo pigiwa simu hadi kesho sawa tu maana tulishakata tamaa kwa mtakao pigiwa all the best
 
mkuu wewe c ndio uliye tuletea majibu baada ya kufanya utafiti na kujiridhisha watu wapo kazini.... vipi tena na hili la Leo tumuamini nani?
Mkuu ni kweli nilithibitisha hivyo na nilisema TAKUKURU walituma vijana kufanya uchunguzi. Ninachotaka kuthibitisha ni nani amepigiwa simu leo ? Na kama amepigiwa kaambiwa interview lini na wapi? Tatizo watu wamekua waongo sana. Aliyepigiwa ajitokeze hapa aseme....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom