Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Ni kawaida yake, sio kwamba anafanya maksudi - jamaa huyu anajua mambo mengi ambayo yanaweza kulisaidia Taifa letu, wahusika wakimsikiza bila ya kumpuuzia tutafaidika kwa mengi - najua watajitokeza baadhi ya watu ambao watahanza kumponda ponda!!Anazungumza kwa jazba au ndo kawaida yake?