Angalia Watanzania Wanavyoonewa usipotokwa Machozi

Hii ni laana kubwa sana! Sijui CCM ni mzimu gani jamani! Walishajenga utamaduni wa kuficha na kufumba fumba maovu hata kama vitu ni obvious kama hili! Yaani unaweza amini kwamba kuna wacanada wamesikia uchungu mpaka kufikia kuandamana lakini kwetu wale wanaojitokeza kupinga unyama huu wanakamatwa na kufungwa na hata kuuwawa!

Tanzania, Tanzania...........! It is time to stand! It is time to shout!
Nina ilaani serikali! Nina kilaani CCM
 
I bet you won't seee.You will see worse situations.CDM sio tofauti na CCM.Kama unadhani ni tofauti,pole sana.
 
Ni kazi ya Bunge kuimplement Environmental laws na siyo Rais.
kama hujui uliza. bunge linatunga sheria ni kazi ya serikali ku enforce au implement. tundu lissu hawezi kuiamrisha barrick iwalipe fidia wanaoathirika na kemikali au waondoke ila jk anaweza.
 
watanzania inapaswa tuseme inatosha, wimbo wa amani amani na watu wetu wanaangamia, jeff wa barick alisema anahonga raisi sembuse mwenyekiti wa kitongoji, jamani tuwaondoe watu wa aina ya makinda na lukuvi. mungu tuangalie watu wako tunaangamia wa watu wasio na hofu ya mungu, serikali kama mmeshindwa kusimamia sheria basi mwogopeni japo mungu.
 
inasikitisha zaidi kuwa wanaofanya vitendo hivi wana support kubwa kutoka kwa weusi wenzetu.huyu teweli teweli nae muuza sura tu, he cant adress these issues na kuchukua hatua? inaudhi na ku-bore kwa pamoja!
 
Kazi ya Bunge kuimplement Environmental laws na siyo Rais.

Ni kazi ya Bunge kuimplement Environmental laws na siyo Rais.

hacha upuuzi mbunge anaweza kuwafanya nini barrick?
this is big structure only national figure can deal with it.
isitoshe makamu wa raisi anashughulika na mazingira
mwisho kutuatilia sheria sio kazi ya mbunge ni jukumu la serikali
wote wamewajibika katika ili
 
Kazi ya Bunge kuimplement Environmental laws na siyo Rais.
Kikwete ndiye aliyewaleta Barrick. Kikwete ndiye anayehongwa na Barrick. He is responsible. Usisingizie bunge ambalo majority ni CCM na mbele ya Kikwete wote ni mahewala bwana.
 
Tanzania inaongozwa na mawakala wa Shetani kabisa!!!
Ccm hawatoacha Uovu mpaka tupambane nao hata kumwaga damu!!!

mkuu shukurani kwa kuwaonea huruma watanzania wenzako kwa mara ya kwanza japo kwa maneno
hii ni ishara ya ukombozi
kama umeyaelewa hayo uliyoyasema kwenye CCM basi umeitafakali vizuri sasa na ccm unajua ccm ni nini
well done
 
And to prove he is not learning a lesson, Mr. President is pushing hard for uranium mining in Selous Game Reserve. Now this is a DISASTER in the making. Uranium is no gold. Uranium mining and processing is extremely destructive. Evidences from the US to Gambia to Niger are overwhelming. And NO Company whatsoever is willing/has an incentive to incur extra costs to implement the proposed mitigation measures. This is particularly so in developing countries like Tanzania, which are inherently corrupt. As I am writing, Uranium Mining is underway in the Selous while the government has embarked on shuttle diplomacy aimed at securing UNESCO approval (Selous is listed as a World Heritage Site under the UN World Heritage Convention). To make matters worse, the government is dancing to the tunes of the investor: Mantra Resources Ltd. This investor is even footing the bill for the aforementioned shuttle diplomacy. We are screwed up!
 
Tanzania, Tanzania...........! It is time to stand! It is time to shout!
Nina ilaani serikali! Nina kilaani CCM

Na wewe umelaaniwa!.....maandiko matakatifu yanasema 'Usilaani ili nawe usilaaniwe' Maadam umelaani....nawe umelaaniwa!
Kwa kifupi...imekula kwako.
 
Hii topic imekaa kama mada ya wanaharakati. Sishangai manake CDM si chama cha siasa, ni wanaharakati wanung'unikaji.
 
I wonder who named us Black people!!
I recall when I was in college a Scandivian colleague said to me you black people enjoys careless life huh!!
By then I was very MAD at him arguing that am not Black rather a Brown person!! I said so because I just read the meaning of the term black color!!! with what I saw on the clip I believe some of Tanzanians are BLACK NOT BROWN AS I WOULD LOVE TO BE CALLED!!
HONESTLY AFTER WATCHING THAT CLIP AM TERRIFIED OF WHATS GOING ON IN MINE INDUSTRIES!! I now relate with what I heard from my friend [a small miner in Geita] who told me that Geita Town is on a huge unstable surface due to underground mines where all the beneath soil/rock has been removed!!
 
YouTube - ‪Toronto Tanzania Solidarity‬‏Angalia hiyo Website inaonyesha uonevu unaofanywa na Barrick kwenye migodi na jinsi wa Canada walivyoandamana kulaani mauwaji na uonevu uliofanyika Nyamongo. Inakuwaje wageni wanakuwa wazalendo kuliko sisi? Hivi najiuliza, uhuru wetu una maana gani kama bado wazungu wanawatumia vibaraka weusi kutuuwa jamani? Natamani kuona uhuru kamili wa TZ kabla sijafariki. Natamani kuona magamba yakizikwa na kutoweka kabisa katika utawala wa nchi hii. Naamini TANU ilituletea UHURU wa bendera, Chadema italeta uhuru wa kujitawala.
inassikitosha sana,inabidi watanzania tubadlike ,tuache woga,tupiganie inchi yetu iliypuzwa na magamba.tuwachome na tufukuze hawa wagen.
 
Kikwete ndiye aliyewaleta Barrick. Kikwete ndiye anayehongwa na Barrick. He is responsible. Usisingizie bunge ambalo majority ni CCM na mbele ya Kikwete wote ni mahewala bwana.

Kuwaleta investors siyo lazima Rais awe muajibikaji ktk kufuatilia masuala ya environment.Tuache fikra za kila kitu ni Rais. Hata environmental laws mpaka Rais aje kutwekea? Kuna njia nyingi za kuforce CSR kwa company na siyo lazima Rais aingilie kati. Kwani wakubwa duniani unafikiri hawajui hii issue? nimepost article ya 12 at least ethical companies Barrick ikiwemo.
 
inassikitosha sana,inabidi watanzania tubadlike ,tuache woga,tupiganie inchi yetu iliypuzwa na magamba.tuwachome na tufukuze hawa wagen.

Acha mawazo ya Kijamaaa. Nchi ya Demokarasia inapigania haki zake kwa njia ya Demokrasia. Unafikiri nchi za Ulaya, US, hakuna mambo hayo uliyoona kwenye youtube? Zipo njia nyingi za kuforce CSR kwa njia ya amani na sheria kwa pande zote mbili-public interest na business interest.
 
Hivi Rais anakubali hongo kwa sababu ya umasikini au ni tabia tu? Aibu kwa viongozi wa Africa!
 
Kiama chetu hatuna uongozi wa nchi tumekwisha au tuchukue hatua hata kama itakuwa ni kwa kucost maisha yetu
 
Viongozi wetu wanagombea kuongoza kwa nia ya kuinua uchumi kwenye familia zao na vibanda hasara. Rejea kauli ya pinda juu ya kazi ya posho. Inahudumia ma cd wanaosubiri bila kupiga kura. Aibu yao aibu yetu tuliowachagua. Kikwete hoyee kwa kuhongwa na wa canada
 
Back
Top Bottom