Angalia Watanzania Wanavyoonewa usipotokwa Machozi

Angalia Watanzania Wanavyoonewa usipotokwa Machozi

I just watch this documentary and really when you see buy own eyes it hurt so bad. Tumekuwa tunasema kila siku humu JF na magazeti mengi na waandishi wengi wa habari wameandika kwa namna moja au mtazamo mwingine kuhusu serikali ya Tanzania imejaa incompetent people kila mahali. Ukiwasikia wakina kikwete wanakaribisha viongozi wa nchi mbalimbali au wakisafiri kwenda Canada, US, Asia au Europe wanapenda sana kuzungumza maswala ya developments na uchumi wa Tanzania ulivyokamaa na demokrasia yao, wakati yote haya ni uongo mtupu. It's just a shame and arrogant kwa upande wa wengi.

Mimi na backbround yangu ya science na business ningependa wananchi wa hili eneo watafute scientific facts. What I want to focus ni scientific investigations kwenye hilo eneo. Kuna cases nyingi sana zina relate na toxic chemicals used during mining process. Operations kama hizi mara nyingi zinatumia heavy materials to soften the ground na nyingine zinatumika kusafishia minerals ili zitoke safi in short periodic time. These companies most of the time, they are focusing in simple and cheap processes to accelerate their productivity. The main goal for these companies is low cost production and high profit. Tunapoangalia maswala yanayohusu serikali ya Tanzania hapa kweli moja kwa moja yatalenga corruption kwani kuna watu serikali wamehongwa ili wafungwe mdomo swala hili wasilizungumze kwa wananchi. Another deadly scenario here ni hii, kuna wale waliopewa hizi kazi ili wacontribute kutokana na utaalamu wao (professionals) wanaonekana walipewa hizi kazi kwasababu ya network na hawajui wanalofanya. Hii ndio Tanzania tunayoijua, a fail state.

Je serikali ilifanya study ya mining kuhusu hizi effects?
Je serikali imefanya investigations zozote kuhusu claims zozote za wananchi?
Je serikali imefuatilia na kuapprove processes zinazotumika katika migodi ya Tanzania? No so fast


Soma hii report kuhusu effects za cyanide katika maeneo ya migodi.
Hazards of Cyanide in Mining
The use of cyanide in the mining process of metals such as gold and silver, leads to severe environmental risks. The use of cyanide in gold mining has led to environmental disasters in many countries across the world such as the United States, Canada, China, Guyana, Bolivia, Zimbabwe, Philippines and Ghana. Recently, Community groups and NGOs in Europe and the United States issued a report which exposed the danger of unregulated cyanide compound releases from mines around the world.
Cyanide is deadly for human beings as well as the environment. The main risks associated with the use of cyanide in mining process are exposure of workers to concentrated hydrogen cyanide gas, leaking of cyanide into the environment and exposure of surrounding communities to cyanide due to accidental releases. During the mining process, the release of cyanide along with other toxic chemicals such as arsenic, lead, cadmium and mercury, leads to harmful effects and permanent damage to some species of animals, plants and human beings. It may also result in deforestation, soil erosion, land slides, and contamination of underground water.
The release of arsenic and other poisonous chemicals during the cyanide leaching process is very dangerous. The cyanide-leach wastes of mining process have the potential to negatively impact municipal sewage and water treatment procedures. It also potentially increases the human intake of several toxic substances. All the cyanide-containing water bodies formed during gold mining milling operations are hazardous to wild animals and migratory birds such waterfowl and bats, if not managed properly. Even accidental leaking of cyanide solutions into rivers and streams will kill fish and other aquatic animals massively. Especially, freshwater fish are the most cyanide-sensitive aquatic organisms.
Workers at gold mining operations can be exposed to cyanide during the heap leaching or tank extraction process. Cyanide is very harmful to human being as it acts as a poison to the human body. Severe breathing difficulties develop when cyanide is inhaled, swallowed or absorbed through the skin. Cyanide blocks the absorption of oxygen by cells, making the victim to suffocate. Exposure to concentrated levels of cyanide can be fatal to the human beings. Exposure to very low concentration of cyanide may cause cancer in people or animals.
We are not certain about the presence and concentration of numerous cyanide compounds in mining wastes. We are also not sure about the presence, persistence, and toxicity of cyanide and related compounds in the environment. But as the effects of cyanide are getting more obvious, the opposition to cyanide leaching in gold mining is also increasing.
The use of cyanide in mining causes an unreasonable risk to the health of people, wildlife, and fish. As the hazards of cyanide in mining process are very much obvious, it is the responsibility of the Government and mining companies to take essential steps. The International Cyanide Management Code provides direction and guidance on how to manage cyanide to ensure protection of workers, the environment and the communities adjacent to mining operations. Mining waste should be regulated in the same manner as other chemical or industrial waste. The public needs enough awareness about mining hazards. The government should ban mining projects that result in environmental hazards in order to prevent ecological disasters. Citizens must also oppose such mining projects. Many organizations in countries such as United States, Canada and Turkey have started associations for banning cyanide leaching in mining.
Tags: Gold Mining, Mining, Mining cyanide, Mining hazards, Underground Mining
This entry was posted on Wednesday, January 7th, 2009 at 7:16 am and is filed under Mining. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0 feed. You can leave a response, or trackback from your own site.
Mining Articles » Hazards of Cyanide in Mining


I am not going to be surprise this area is affected by cyanide. I am working to find scientific investigation to take on this case in Mara, lets all work together to solve this nightmare to out people.
 
mkuu shukurani kwa kuwaonea huruma watanzania wenzako kwa mara ya kwanza japo kwa maneno
hii ni ishara ya ukombozi
kama umeyaelewa hayo uliyoyasema kwenye CCM basi umeitafakali vizuri sasa na ccm unajua ccm ni nini
well done

Mkuu upo?dah kitambo sana mkuu,okay utembelee basi kale ka group ketu.
 
Tunaongozwa na watu wasio na UTU hata kidogo!
Unaweza kutoa chozi la damu! mmmh!
 
YouTube - ‪Toronto Tanzania Solidarity‬‏

Angalia hiyo Website inaonyesha uonevu unaofanywa na Barrick kwenye migodi na jinsi wa Canada walivyoandamana kulaani mauwaji na uonevu uliofanyika Nyamongo. Inakuwaje wageni wanakuwa wazalendo kuliko sisi? Hivi najiuliza, uhuru wetu una maana gani kama bado wazungu wanawatumia vibaraka weusi kutuuwa jamani? Natamani kuona uhuru kamili wa TZ kabla sijafariki. Natamani kuona magamba yakizikwa na kutoweka kabisa katika utawala wa nchi hii. Naamini TANU ilituletea UHURU wa bendera, Chadema italeta uhuru wa kujitawala.

Punguza bange hizo Ibange
 
ahaa kweli nchi hii haina viongozi. Hatuwezi bado kujitawala na hii inasikitisha saana! Mnakumbuka mambo ya rada yalikuwa big issue kwenye bunge la uingereza lakini hapa nyumbani wabunge wetu waliona ni kupoteza muda kuzungumzia kashfa hii. Mauaji huko Mara yanakuwa issue kubwa Canada na Africa Kusini lakini hapa nyumbani wabunge na viongozi wengine hawataki kusikia hili. Kuuzwa kwa wanyama hai kutoka tz ni gumzo kubwa Uingereza na nchi za Ulaya lakini hapa nyumbani thubutu kusema.

Jamani inatosha sasa lazima tufanye maamuzi magumu la sivyo tutaangamia wote kwani wenzetu tayari wameshaangamia
 
Another useful information on cyanide

How are cyanides used?
Historically, hydrogen cyanide has been used as a chemical weapon. Cyanide and cyanide-containing compounds are used in pesticides and fumigants, plastics, electroplating, photodeveloping and mining. Dye and drug companies also use cyanides. Some industrial processes, such as iron and steel production, chemical industries and wastewater treatment can create cyanides. During water chlorination, cyanogen chloride may be produced at low levels.

How can people be exposed to cyanides?
People may be exposed to low levels of cyanides in their daily lives from foods, smoking and other sources. Eating or drinking cyanide-containing foods may cause health effects. Breathing cyanide gas, especially in a poorly ventilated space, has the greatest potential for harm. Lethal exposures to cyanides result only from accidents or intentional acts. Because of their quick-acting nature, cyanides may be used as agents of terrorism.

How does cyanide act in the body?
After exposure, cyanide quickly enters the bloodstream. The body handles small amounts of cyanide differently than large amounts. In small doses, cyanide in the body can be changed into thiocyanate, which is less harmful and is excreted in urine. In the body, cyanide in small amounts can also combine with another chemical to form vitamin B[SUB]12[/SUB], which helps maintain healthy nerve and red blood cells. In large doses, the body's ability to change cyanide into thiocyanate is overwhelmed. Large doses of cyanide prevent cells from using oxygen and eventually these cells die. The heart, respiratory system and central nervous system are most susceptible to cyanide poisoning.

What are the specific signs and symptoms of cyanide poisoning?
The health effects from high levels of cyanide exposure can begin in seconds to minutes. Some signs and symptoms of such exposures are:
  • Weakness and confusion
  • Headache
  • Nausea/feeling "sick to your stomach"
  • Gasping for air and difficulty breathing
  • Loss of consciousness/"passing out"
  • Seizures
  • Cardiac arrest
The Facts About Cyanides
 
tunaongozwa na watu wasio na utu hata kidogo!
Unaweza kutoa chozi la damu! Mmmh!

JF ingekuwa na sauti ungekuta mungu alisha shuka kwa makelele yanayopigwa kila siku. Mimi acha nibaki na machozi yangu lakini kuna siku mungu atanyuosha mkono wake na kutuonyesha fimbo ya kuvuka huo mto. Amen.
 
ni vigumu kuamini kama tuna serikali yenye uchungu na wananchi pamoja na rasilimali zake, hivi tunaongozwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania AU serikali ya chama cha mapinduzi(ccm)? hakika ni serikali ya ccm na ndo maana wabunge wao bungeni kila wanaposimama kutoa hoja utasikia wanasema "serikali ya ccm..." kwa hiyo ndugu zangu hatuna serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuwa ingekuwepo raia wake wasingedhalilishwa,wasingenyanyaswa wala kuuwawa bila kutetewa na serikali yao! ni aibu iliyoje watz tumeshindwa kushikamana katika kupinga kwa nguvu zetu zote kuhusu matukio kama haya? ni picha gani mbele ya jumuiya za kimataifa wanayoipata pale watu wa nje ya nchi yetu wanapoonesha kuwa na uchungu zaidi na nchi hii kuliko sisi wenyewe? to hell with whoever sonofabitch who is responsible of taking care of these issues!
 
I bet you won't seee.You will see worse situations.CDM sio tofauti na CCM.Kama unadhani ni tofauti,pole sana.

I might be missing something here!!!! Are you trying to convice us that there is no difference between CCM and CDM? I beg to differ and I take your statement as cheap as grain of sand!!!!

Tiba
 
Ni kweli kuna makampuni yenye uwezo na ushawishi mkubwa duniani lakini kama viongozi wa serikali ya nchi yetu wangekuwa waaminifu na wazalendo,haya ya barrick gold yasingetokea!mbona hayati baba wa taifa aliweza kupambana na nguvu za nchi zilizoendelea na akaheshimiwa kwa msimamo huo.
 
Na wewe umelaaniwa!.....maandiko matakatifu yanasema 'Usilaani ili nawe usilaaniwe' Maadam umelaani....nawe umelaaniwa!
Kwa kifupi...imekula kwako.
Imekula nini? do u think u r safe kwa sababu hivi sasa mpo juu kwene pyramid ya utawala? I tell u what, muda unakuja ambapo wajukuu zenu watafukua makaburi yenu na kuchoma moto mifupa yenu, at that time there will be no Uranium, no gold , no diamond, no nothing. All dead and gone. Kutakuwa na dhiki kuu na haitachagua vizazi vya Magamba au wanaharakati.
 
Kuwaleta investors siyo lazima Rais awe muajibikaji ktk kufuatilia masuala ya environment.Tuache fikra za kila kitu ni Rais. Hata environmental laws mpaka Rais aje kutwekea? Kuna njia nyingi za kuforce CSR kwa company na siyo lazima Rais aingilie kati. Kwani wakubwa duniani unafikiri hawajui hii issue? nimepost article ya 12 at least ethical companies Barrick ikiwemo.
tatizo hujui serikali inafanyeje kazi. rais ndie anateua watendaji wa serikali na wanawajibika kwake hivyohttp://www.google.com
 
Mimi ningekuwa karibu na huo mgodi ningejitoa mhanga tuu, ninhejilipua tukose wote ujinga gani huu
 
jamani watz tuache woga,wenzetu wameandamana,iweje sisi wazawa tushindwe kuwa wazalendo kwa hili?ikiwezekana tuwafukuze inchini.hivi tnaongozwa na wendawazimu?nguvu ya uma ianze kazi.
 
Back
Top Bottom