Angalia Watanzania Wanavyoonewa usipotokwa Machozi

Angalia Watanzania Wanavyoonewa usipotokwa Machozi

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
YouTube - ‪Toronto Tanzania Solidarity‬‏

Angalia hiyo Website inaonyesha uonevu unaofanywa na Barrick kwenye migodi na jinsi wa Canada walivyoandamana kulaani mauwaji na uonevu uliofanyika Nyamongo. Inakuwaje wageni wanakuwa wazalendo kuliko sisi? Hivi najiuliza, uhuru wetu una maana gani kama bado wazungu wanawatumia vibaraka weusi kutuuwa jamani? Natamani kuona uhuru kamili wa TZ kabla sijafariki. Natamani kuona magamba yakizikwa na kutoweka kabisa katika utawala wa nchi hii. Naamini TANU ilituletea UHURU wa bendera, Chadema italeta uhuru wa kujitawala.
 
"I can bribe the president let alone the village chairman"- Mr. Jeff.

Mh. Kweli Tanzania hatuna serikali. Ningekua raisi nisingekubali kudharauliwa hivi.
 
Hata nchi zilizoendelea Marais wanatumiwa na Lobbyist interet groups. Hakuna kisichowezakana duniani. Na hakuna kiongozi au uongozi bora duniani.
 
Tanzania inaongozwa na mawakala wa Shetani kabisa!!!
Ccm hawatoacha Uovu mpaka tupambane nao hata kumwaga damu!!!
 
YouTube - ‪Toronto Tanzania Solidarity‬‏Angalia hiyo Website inaonyesha uonevu unaofanywa na Barrick kwenye migodi na jinsi wa Canada walivyoandamana kulaani mauwaji na uonevu uliofanyika Nyamongo. Inakuwaje wageni wanakuwa wazalendo kuliko sisi? Hivi najiuliza, uhuru wetu una maana gani kama bado wazungu wanawatumia vibaraka weusi kutuuwa jamani? Natamani kuona uhuru kamili wa TZ kabla sijafariki. Natamani kuona magamba yakizikwa na kutoweka kabisa katika utawala wa nchi hii. Naamini TANU ilituletea UHURU wa bendera, Chadema italeta uhuru wa kujitawala.
Ndg yangu kama hujajua, serikali ya CCM ni janga la Taifa. Mshikamano wetu utajidhihirisha endapo tutauangusha utawala CCM tu. Kazi ni kwako na mimi. Tafakari, chukua hatua!
 
The 12 Least Ethical Companies In The World: Covalence's Ranking (PHOTOS, POLL)


Can ethics be quantified? Or, better yet, can a lack of ethics be quantified?
This week, the Swiss research firm Covalence released its annual ranking of the overall ethical performance of multinational corporations. The idea behind the Covalence research is that there's value -- both for companies and consumers -- in measuring corporations against an ethical standard. (We're hoping this idea also applies to Wall Street firms.)
To complete its ethics index, Covalence compiled both quantitative and qualitative data, spanning seven years, for 581 companies. The data encompass 45 criteria that include labor standards, waste management and human rights records. And because it is a reputation index, the Covalence survey also incorporates media, industry and NGO documents into its evaluation.
Of course, while the index had its winners -- the first-, second-, and third-place companies were IBM, Intel, and HSBC, respectively -- we were more interested in the companies with the lowest ethical ratings. Among those companies with the most awful records are some of the usual suspects in the oil and mining industries but Covalence also found some lesser-known offenders.
Check out a snapshot of the 12 companies with the worst ethical ratings, and some of the things they've done to earn the ranking:

[TABLE="class: business_vertical_background caption_table, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: slideshow_poll_photo_title, width: 402, align: center"]#12 Barrick Gold Corporation [/TD]
[TD="align: center"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
loader.gif

Twelfth worst in the Covalence ranking is Barrick, the Toronto-based gold-mining corporation. Allegations against the company include charges that it had a hand in the burning of at least 130 homes near its Porgera Mine in Papua New Guinea and that it manipulated land titles in Australia and Chile. The company was also blamed in a toxic spill in Tanzania that left dangerous levels of arsenic in the area around its North Mara mine, and its attempts to mine the Pascua Lama region along the Argentina-Chile border were associated with a 56-70% shrinking of nearby glaciers. A team of the company's engineers and technicians in Los Cacaos, Dominican Republic is pictured.
 
It is a shame. Kikwete is evil, and he does not deserve to hold the title of "my president."
 
Ndg yangu kama hujajua, serikali ya CCM ni janga la Taifa. Mshikamano wetu utajidhihirisha endapo tutauangusha utawala CCM tu. Kazi ni kwako na mimi. Tafakari, chukua hatua!

Hii issue siyo ya CCM peke yake, ni Corporate Social Responsible (CSR). Kuna makampuni mengi duniani ambayo yanafanya kama hao Barrick Gold wanavyofanya. Tatizo kubwa linakuja kwamba haya Makampuni yana nguvu sana duniani, hata Marekani utakuta haki za msingi au lobby inafanyika ktk kila level, ambapo haya makampuni yanatumia kila nguvu waliyokuwa nayo kutekeleza interest zao. Hata kama CDM wakija madarakani hawatoweza kushindana na power ya Makampuni period.
 
iT Pain much my Frnd, raisi wetu ni sawa na jiwe lililoko chini ya bahari halijui tabu ya maji inayolipata jiwe lililoko Jangwani. Ee Mungu ibariki Tz ipate kiongozi mpya atakayeweza kuirudisha tanzania ya 1980.viongozi wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa na sisi tumekuwa kama wakimbizi kwenye nchi yetu.
 
Hivi hii nchi ina raisi kweli?
Ni nani aliye ilaani Tanzania?
natamani ningekua na mabomu nika jitoe mhanga magogoni
 
Hivi hii nchi ina raisi kweli?
Ni nani aliye ilaani Tanzania?
natamani ningekua na mabomu nika jitoe mhanga magogoni

Ni kazi ya Bunge kuimplement Environmental laws na siyo Rais.
 
Naomba mungu atuweke hai mpaka 2015 ili tuwaondoe hawa magamba ikishindikana kwa kura hata kwa mawe sidhani kama watoto wetu watakuta hayo madini zaidi ya kuona picha, mungu ibariki tz
 
Hii issue siyo ya CCM peke yake, ni Corporate Social Responsible (CSR). Kuna makampuni mengi duniani ambayo yanafanya kama hao Barrick Gold wanavyofanya. Tatizo kubwa linakuja kwamba haya Makampuni yana nguvu sana duniani, hata Marekani utakuta haki za msingi au lobby inafanyika ktk kila level, ambapo haya makampuni yanatumia kila nguvu waliyokuwa nayo kutekeleza interest zao. Hata kama CDM wakija madarakani hawatoweza kushindana na power ya Makampuni period.
Ulianza vizuri kwa kusema ni csr. Unaposema hata cdm wakija madarakani hawataweza, unataka tukubali kama ilivyo mchana na usiku?
 
Yaani haya mambo yanakera sana aah!
 
Suala hapa si sheria bali ni utekelezaji wa hata zile zilizopo. Lakini endapo Watanzania tutaendelea kulala kwa jina la AMANI haya yataendelea kuwepo. Nasubiri siku ambayo kizazi cha watz kitaamuka na kusema imetosha....nasubiri kuona watu wakiona wabunge wakisahau toffauti za kiitikadi na kuweka maslahi ya watz na vizazi vijavo mbela
 
Back
Top Bottom