Angalia wa kuwapa ofa...

Huyo dada ni jamii ya simba?mbona ana speed hivyo kwenye ulaji wa nyama?
 
Hao lazima ulipo ujiandae kutumia SimBankingmaana laa siyo utafirisika yaani kama wana mwaka hawajapiga maji ya mende
 
duh,salsa huyo si atakula aafu anaondoka?hill dude i
taenda nalo WAP?
 
Hii ni maigizo au ni kweli?!
 
Duu haya macho ya uzee haya hapa sitatambua walikua wanakunywa bia gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…