Angalia vituko vya Polisi ITV

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,345
2,000
Kamanda wapolisi Singida ametuacha hoi,ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa.

Alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio siku zote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba.

Hivi wakuu na ID makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionesha xmass?

Angalizo

Soon utawaona sumatra pale stand ya mkoa na polisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufa jamani,kwanini wasikague kila siku?

Pombe ziko kila siku why upime Disemba tu tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,345
2,000
Kwa wachaga kweliwanaazimisha MWEZI wa pombe dunian
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,345
2,000
Pedafomu

Nimeipenda sana hofu isiwe dec Tujanuary tukaendelea kuzika
 
Mmea

Member
Dec 3, 2014
34
0
Ubungo wiki iliyopita sumatra walikuwepo na watu walirudishiwa naul zao walzokuwa wamezidishiwa na madalal!
 
UCD

JF-Expert Member
Aug 17, 2012
7,268
2,000
Kamanda wapolisi singida ametuacha hoi
ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa

alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio sikuzote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba

hivi wakuu na id makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionyesha xmass

angalizo

soon utawaona sumatra pale stand yamkoa napolisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufaw jamani

kwa nini wasikague kila siku
pombe ziko kilasiku why upime december tu??tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa

uwii
Pdidy kwani kuna kosa gani polisi kukagua uwe unaleta vitu vya maana basi acha upumbavu waache wafanye kazi zao! au na wewe ni mtu wa viroba???
 
Mapengo 17

R I P
Mar 28, 2014
1,232
0
Kamanda wapolisi singida ametuacha hoi
ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa

alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio sikuzote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba

hivi wakuu na id makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionyesha xmass

angalizo

soon utawaona sumatra pale stand yamkoa napolisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufaw jamani

kwa nini wasikague kila siku
pombe ziko kilasiku why upime december tu??tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa

uwii
Wewe nawe hufikirii,sasa kama ndio wamezinduka sasa hivi waache kufanya hilo zoezi au waendelee kufuatilia ili ndugu zetu wasipoteze maisha kwa uzembe? Kipi ni bora!
 
Nyombesi

Member
Aug 19, 2014
53
0
hivi kile kipimo wanachopimiwa kujua kama amekunywa pombe inakuwaje maana wanapimwa kwa kuwekewa mdomoni kiafya imekaaje
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
5,688
2,000
Mi sioni kama kuna ubaya hapa, ni issue ya usalama, na ukizingatia kuwa watu wengi wanapoteza maisha kwa ajali tokana na uzembe na kiburi cha maderva kinachosababishwa na matumizi ya Pombe na Bangi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom