Angalia vitu vya Mchina hivi

Angalia vitu vya Mchina hivi

Haya magari ya Kichina sio ya kushobokea sana, kulikuwepo na magari toka Korea yanaitwa KIA Mini bus mfano wa Coaster. Zilikuwa nzuri sana lakini zilishindwa kuhimili mikikimikiki ya barabara za kwetu. Pia walikuwa na magari yao madogo (nimesahau jina lake) ambayo mengine walipewa hata polisi, yalionekana mazuri sana kwa umbo, ila ndio hivyo yalishindwa kabisa mtanange wa hizi barabara zetu.
 
Ina maana mabasi ya mchina huyaoni yanavyokimbiza TZ na kuua soko la mabasi mengine au wewe mgeni nchini
 
Haya magari ya Kichina sio ya kushobokea sana, kulikuwepo na magari toka Korea yanaitwa KIA Mini bus mfano wa Coaster. Zilikuwa nzuri sana lakini zilishindwa kuhimili mikikimikiki ya barabara za kwetu. Pia walikuwa na magari yao madogo (nimesahau jina lake) ambayo mengine walipewa hata polisi, yalionekana mazuri sana kwa umbo, ila ndio hivyo yalishindwa kabisa mtanange wa hizi barabara zetu.

Uzuri wa mjapan ni kwamba anabadilisha mara kwa mara muundo wa magari yake. Lakini nayo pia yanapotea, mfano mabaloon, corolla ltd zile ambazo zilikuwa favourite kwa taxi, Mitsubish kitchen party nk ziko wapi? Labda huyo mkorea wa KIA na Hyundai zake habadilishi, hivyo fashion yake inapita.
 
Wachina ni watu wasio na akili.
Kila kitu wanachotengeneza wamekopi teknolojia yake. Hayo magari yanafanana na Range, Audi, BMW, Mercedes.
Hawana ubunifu wowote ule.
Kwa watu tunaopenda majina ya magari kamwe siwezi endesha kitu cha bei rahisi ambacho najua ipo siku kitaharibika
Mimi ninadhani hata wewe una akili kuliko wachina na ndiyo maana uko vizuri kiuchumi
 
Wachina ni watu wasio na akili.
Kila kitu wanachotengeneza wamekopi teknolojia yake. Hayo magari yanafanana na Range, Audi, BMW, Mercedes.
Hawana ubunifu wowote ule.
Kwa watu tunaopenda majina ya magari kamwe siwezi endesha kitu cha bei rahisi ambacho najua ipo siku kitaharibika

Ww mtumwa wa marekani una hela gani wenye pesa zao akina bakhressa sa hv wanaorder gari za kichina i.e howo,faw
 
Mkuu umeover rate feelings zako kwao kuna bidhaa za magari wanatengeneza nzuri tu kv howo,faw etc shida sisi third world wanatuletea lowest class kulingana na bei! But naamini wana akili sana kutuzidi that's why uchumi wao umo miongoni mwa leading economies
 
Ww mtumwa wa marekani una hela gani wenye pesa zao akina bakhressa sa hv wanaorder gari za kichina i.e howo,faw

Kwenye hayo magari sijataja hata moja kutoka Marekani.
Hata Bakhresa ukijaribu ona hizo FAW kama kazipotezea. Nyingi zake ni Volvo, na wengine.
Labda kama wamsema METL
 
Hakuna sababu ya kuwabeza wachina kwa lolote lile, wakati mabasi ya Yutong yanaingia tuliona kama hayafai leo hii sote tukifika Ubungo tunatamani kupanda Yutong au Zengtong maana yana raha yake kuliko scania eti. Watakuja na magari hayo kwa design zote maana tangu WTO liwakubali wameteka soko la dunia eti.

Naunga mkono hoja
 
Ngoja yaje ila navyomjua mchina kwenye bei atashusha kwa hiyo kila mtu atamiliki gari.
Foleni itazidi mara dufuuu. ..hehehe
 
Teh teh teh .

Kitu kilimo kwanza ya mchina sipati picha unajiskiaje kumiliki note 4 clone ambalo bei yake ni sawa na lumia 535 na ukimiliki lumia ukaonekana mtu makini sana.

Any way litakuwa chaguo la wataka makuu wasio na uwezo.
 
Lakn pamoja na kukopi technology lakn umeona uchumi wao? Ni sawa na Tanzania?
Maisha ni akili na ujanja ila sio ujanja wa akina change na genge lake

nilikuwa nasubiri hapa .........1like received
 
Big up nawafagilia wamefika mbali sana wachina,swala la ku copy technology ndio ujanja wa hii dunia kwa sasa ukisema unang'ang'ania technolojia yako yatakukuta yaliyomkuta Blackberry ambaye saa hizi ndio anazinduka wenzake wako mbali.
 
Hapo umezidisha mkuu, hivi kama wachina hawana akili, Bongo tutakuwa kwenye kundi lipi kiakili? Na gari gani haitakuja kuharibika? Ukiangalia vizuri, magari machache sana hayafanani, hivyo kama kuiga kampuni zote zinaiga.

Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anawachukia sana wachina na kusema kila kitu chao ni kibaya na kwamba hawezi nunua wala tumia vitu vya wachina.
Siku moja nikamkumbusha kuwa aangalie vyombo anavyotumia nyumbani...
Baadaye akagundua kuwa hata viatu na nguo zake alizovaa, pamoja karibu nusu ya household items nyumbani kwake, vyote ni vya mchina. Sasa kawa mpole na anatumia Huawei smart phone.

Wazungu wenyewe wa West, wasingeiga science ya 'medieval arabs' (e.g. alchemy, algebra), wasingeendelea kama walivyo sasa kwenye science na technology. Ku-copy na kutumia kwa maendeleo yako ndio maendeleo yenyewe...
 
Uzuri wa mjapan ni kwamba anabadilisha mara kwa mara muundo wa magari yake. Lakini nayo pia yanapotea, mfano mabaloon, corolla ltd zile ambazo zilikuwa favourite kwa taxi, Mitsubish kitchen party nk ziko wapi? Labda huyo mkorea wa KIA na Hyundai zake habadilishi, hivyo fashion yake inapita.

Aisee kampuni yoyote ya magari lazima ibadili products zake huwezi kutengeneza kitu kile kile kila siku. Kuna kitu kinaitwa product life cycle. Sa hivi Toyota kashaacha kuzalisha altezza, verossa anajaribu kuja na vitu vingine na hili swala ni kawaida sana kwenye production.
 
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anawachukia sana wachina na kusema kila kitu chao ni kibaya na kwamba hawezi nunua wala tumia vitu vya wachina.
Siku moja nikamkumbusha kuwa aangalie vyombo anavyotumia nyumbani...
Baadaye akagundua kuwa hata viatu na nguo zake alizovaa, pamoja karibu nusu ya household items nyumbani kwake, vyote ni vya mchina. Sasa kawa mpole na anatumia Huawei smart phone.

Wazungu wenyewe wa West, wasingeiga science ya 'medieval arabs' (e.g. alchemy, algebra), wasingeendelea kama walivyo sasa kwenye science na technology. Ku-copy na kutumia kwa maendeleo yako ndio maendeleo yenyewe...

Uwezekano mkubwa hata hiyo nusu iliyobaki ni Made in UK - (United Kerala, India)
 
Back
Top Bottom